Dar es Salaam Institute of Technology(DIT) - Special Thread

Jamani hapo DIT hakuna majina mapya yaliyoongezeka kwenye loan allocation? mi nilipata 1 batch ila allocation yangu haikutoka kwenye majina ya kwanza
 
Nina Shahada ya Elimu(Sanaa), Advance nilisoma HKL. Je, naweza kusoma Electrical ngazi ya Diploma?
 
Jaman msaada cfa za kujiunga na vyuo vya ICT {information Communication Technology} na n vyuo gan vinatowa iyo coz
IMG_20181128_110303.jpeg
 

Similar Discussions

10 Reactions
Reply
Back
Top Bottom