Muntu Ya Pori
JF-Expert Member
- Jun 25, 2013
- 222
- 64
Jamani hapo DIT hakuna majina mapya yaliyoongezeka kwenye loan allocation? mi nilipata 1 batch ila allocation yangu haikutoka kwenye majina ya kwanza
Batch ngap?hello Engineers hakuna update ya majina mapya ya allocation?
nilipata batch ya kwanza ila jina langu halikuwepo kwenye list ya batch ya kwanza hapo chuoniBatch ngap?
Angalia kwenye batch la 3nilipata batch ya kwanza ila jina langu halikuwepo kwenye list ya batch ya kwanza hapo chuoni
kwani kwenye batch ya tatu kunamajina ya batch 1?Angalia kwenye batch la 3
Walisema wataunganisha kwa wale waliona matatizo batch 1kwani kwenye batch ya tatu kunamajina ya batch 1?
kwenye list ya batch 3 jina halipo. nimeona SUA wametoa list ya allocation batch 1 addition na batch 3. Vip hapo kuna new list on advert board?Walisema wataunganisha kwa wale waliona matatizo batch 1
Chuo gani umepepata ,maana walisema hivo kama ikishindikana nenda ofisin kwakokwenye list ya batch 3 jina halipo. nimeona SUA wametoa list ya allocation batch 1 addition na batch 3. Vip hapo kuna new list on advert board?
DIT au we haupo hapo?Chuo gani umepepata ,maana walisema hivo kama ikishindikana nenda ofisin kwako
Kwann vivuli bossHizo notice board zinanikumbusha mbali kipindi hicho matokeo yanabandikwa hapo, ukifika notice board za Electrical au Civil ni mwendo wa vivuli hata kwa mbali unaviona.
matokeo yako ya form four yapoje hasa math,physics, English...Nina Shahada ya Elimu(Sanaa), Advance nilisoma HKL. Je, naweza kusoma Electrical ngazi ya Diploma?
matokeo yako ya form four yapoje hasa math,physics, English...
Sasa picha yako inafanya nini hapoJaman msaada cfa za kujiunga na vyuo vya ICT {information Communication Technology} na n vyuo gan vinatowa iyo cozView attachment 954996
Mkuuu pcha co tatzo kama unafaham naomba msaadaSasa picha yako inafanya nini hapo
Mkuuu pcha co tatzo kama unafaham naomba msaada