Dar es Salaam: Hali ya mazingira Soko la Kawe siyo nzuri kwa afya za watumiaji na wakazi

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Feb 7, 2022
2,302
5,441



photo1651317650.jpeg
Kutokana na mvua kuendelea kunyesha mara kwa mara Jijini Dar es Salaam hali ya usafi katika Soko la Kawe imekuwa siyo nzuri, mazingira haya yanatajwa kuwa sio salama kwa watumiaji sokoni hapo na wakazi wa maeneo ya Kawe.

Soko hilo lipo katika Jimbo la Kawe ambalo Mbunge wake ni Joseph Gwajima licha ya ushuru kukusanywa sokoni hapo lakini lipo hatarini kusababisha magonjwa ya mlipuko.

Picha hizi vimepigwa jana Aprili 30, 2022
photo1651317656.jpeg

5306d9fc-3cb3-4b6d-b48f-276b6e2a5320.jpg

photo1651317655.jpeg
 
Sawa hili jambo la usafi wa masoko litashughulikiwa na serikali ya mtaa huku juu tunashughuli nzito ya kitaifa uzinduzi wa royal tour kwanza.
 
Back
Top Bottom