Dar es Salaam BRT is a massive failure. What can Nairobi learn?

Alfu hyu 254 anabisha tu kukuzingua ila anajua ukweli demand ni kubwa. Alafu isitoshe population ya dsm ni zaidi ya 5mil people ni zaidi ya jiji lolote Afrika Mashariki. Uwezo wa jiji kuhudumia watu ni sio mdogo ila ni wa changamoto kufika malengo
Nimzito kuelewa....
 
Chief kama ni mkazi wa dsm nq unapanda Brt hupaswi kutetea udhaifu wao
mimi niko DSM natumia BRT kutokea kigamboni mpaka morocco kila siku.

siku hizi imekuwa ni kawaida kabisa kukuta saa mbili moroco haina abiria hata 20 wakisubiri gari.
 
We have been told many times that Dar BRT is a success story. But is that really the case? According to people who actually use it, the BRT is a failure that requires complete overhaul.

The buses and stations are crowded more than an Indian train station. Travellers are worried of contracting TB.
The waiting times are extraordinarily long. Paper ticketing no longer works.

As Nairobi prepares to launch its own brt on several corridors, how can we prevent the mistakes of Dar?

This is a report by ITV.

As expected, it has performed very poorly on YouTube with only 300 views. Nafikiri ni kwasababu sio video ya kuimba sifa za rais dokta John Pombe Magufuli, na serikali ya awamu ya tano.

Dar is among of top 3 fastest growing city in Africa, the population density is near out of control.

Moreover there are so many projects in the city to improve infurustructure that can accommodate the population. By doing so several roads have been diverted forcing people to go through few open roads.

I trust in few years to come even NRB will lagg behind DSM in term of infurustructure
 
Dar is among of top 3 fastest growing city in Africa, the population density is near out of control.

Moreover there are so many projects in the city to improve infurustructure that can accommodate the population. By doing so several roads have been diverted forcing people to go through few open roads.

I trust in few years to come even NRB will lagg behind DSM in term of infurustructure
kwa sasa tayari tuko 51 wao wana 49.

nakumbuka miaka 5 nyuma, ilikuwa haiwezekani kuitaja dar na nairobi pamoja, saa hizi story ni tofauti kabisaa, wingi wa watu haujawahi sema uongo. hata lagos naipa 10 yrs itakuwa haishikiki vile ufisadi tu unawaangusha wangeishakuwa mbali sana.
 
hata january 2020,ni 2020 hiyo hiyo.

swala ni moja tatizo bado lipo au limetengemaa, pamoja na janga la corona kupiga mfumo wake wa upatajia faida BRT haikuona ni sawa tu kuacha kutoa huduma, lilibeba level seats na kujipatia shiling elfu 14 tu kila gari ambazo hazikutosha hata kununua mafuta ya oneway route kimara to kivukoni.

sisi kama wana dsm, tunajivunia mwendokasi, ndio sababu iliposumbua hatukukaa kimya, mpaka mshika tenda akaingia matatizoni. kazi kwenu ambao hata hamjui 1km ya BRT system inacost time, money, power kiasi gani,mkajaribu kutia rangi kwenye barabara za kawaida.

Tatizo bado lipo na ndio linazidi kutokota, watu wanalia sana maana ni kama mumewatelekeza hamjali tena, limradi liliachwa lijifie.
 
Stop it bro....
Bus fare for BRT in Dar in that 21km is 650/=Tsh which is equal to 30/=Ksh that's only only one way, so go and return its about 1300/=Tsh which is equal to 60/=Ksh

While Daladala is more cheap than BRT which costs about 400/=Tsh which is equal to 19/=Ksh.....
This daladala costs same applies to Commuter Train from Pugu, Ubungo to CBD and Pugu to Tazara
Thank you for proving that BRT is more expensive than commuter rail. Nice to see you have come around to my point which you proved by trying to argue against it.
 
Hiyo BRT ni mradi ulioangukia pua, mamia ya Watanzania wengi huomba zirejeshwe daladala za kawaida, niliwahi kujaribu kuitumia mara kadhaa ila kila nikikata tiketi najikuta nashuka nje ya kituo na kwenda kutafuta usafiri mwingine. Tatizo la hawa watu walivyolemazwa na ujamaa, huwa hawaambiliki.
Bora ukae kimya huelewi chochote kuhusu BRT

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
mimi niko DSM natumia BRT kutokea kigamboni mpaka morocco kila siku.

siku hizi imekuwa ni kawaida kabisa kukuta saa mbili moroco haina abiria hata 20 wakisubiri gari.
Hapana ndugu hata ulaya wenzetu wanautararibu mzuri na vyombo vipo vya kutosha bila kujali peak hours au ni muda wa abiria wachache
 
Hiyo BRT ni mradi ulioangukia pua, mamia ya Watanzania wengi huomba zirejeshwe daladala za kawaida, niliwahi kujaribu kuitumia mara kadhaa ila kila nikikata tiketi najikuta nashuka nje ya kituo na kwenda kutafuta usafiri mwingine. Tatizo la hawa watu walivyolemazwa na ujamaa, huwa hawaambiliki.
Kwa ajili ya upinzani umeongea vizuri, kwa uhalisia jaribu kuwa a living thing rather than an opposite of it. Nipongeze nimeweka kikenya kilichowasaidia kuwa nchi iliyoendelea zaidi duniani kwakujua kigeni.

Vyovyote utakavyokosoa, ndio hali halisi tuliyonayo sisi watu weusi, najivunia kuwa MTZ na sitaichukia Kenya kwa kuwepo wala kwa kutumia ujinga wa TZ kudhani kuongea kigeni ndio kustaarabika.

BRT ni matunda ya kukariri kwa wasomi wetu kisha kufanya kopi endi pesti. Kukosa dira ya kitaifa kwa kudhani maendeleo ni kupitia hatua zote walizopitia weupe bila kujali tofauti za kimazingira na nyakati.

Kama tukiamua, yuropiansi endi amerikansi wasikanyage Afrika, basi kwa mizunguko miwili tu ya dunia, weupe wata-kolapsi kwa kukosa kila kitu(roo matirio ikiwa sababu kubwa)

Nimebahatika kuona sehemu ya majirani halisi, bado tuko kwenye levo ya kutaka kujua miili yetu zaidi kabla hatujajua mazingira yanayotuzunguka. Lakini kwa kukariri timeshakimbikia kwenye kubaguana kabla ya kujua uhalisia wa uwepo wetu.
 
I doubt if sisiemu has seen this report. It will be pulled down the moment that happens
 
Back
Top Bottom