Dar. Dar. Dar. Kila corner kunanuka

Kyenju

JF-Expert Member
Jun 16, 2012
4,621
1,706
Niko njiani kutoka KIGAMBONI kuelekea KISARAWE kupitia njia ya Mbagala. Katika safari yangu hii harufu mbaya ya takataka imetawala hasa kuanzia Mbagala na Temeke, tulipooingia barabara ya Nyerere nako hakukuwa swali kwani magari ya taka mengi yao hayana viwango vya kubeba taka yalikuwa yanapishana, mengine yameharibikia njiani taka zinanuka sana. Mimi naamini kwa pamoja tukiamua jiji letu linaweza kuwa safi tukaondokana na harufu mbaya.
 
Back
Top Bottom