Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 80,769
- 93,547
Shida ni maintenanceChuma hicho inadumu miaka 600
Shida ni maintenanceChuma hicho inadumu miaka 600
Spare ziko kibao na unapewa warrant ya mwaka mmoja na Saab scania Tanzania baada ya hapo utaanza kulipiaShida ni maintenance
Mkuu hi I una door katikati?Hivi imewezekana vipi kwamba huu uzi hauna hata picha ya hilo bus la 217,000$?
View attachment 503534
Hatuna na madereva mangi, hawajali mali za watu.Spare ziko kibao na unapewa warrant ya mwaka mmoja na Saab scania Tanzania baada ya hapo utaanza kulipia
sidhani kama uko sahihiHatuna na madereva mangi, hawajali mali za watu.
kwanini mkuuHuu Uzi ungeuweka kwenye jukwaa la WAKENYA UNGEKAA POA
jambo lolote ni kuamua tuaisee hivi sis tunaopenda chini tunaweza kuja kufungua kampuni dizaini hii kweli? maana nusu ya mshahara unaishia kuhonga na mambo kama hayo.
Watu wanasahau kuwa value ya tsh vs USD ni vitu wiwili tofauti mfano ungekuta ni kwa majirani zetu Kenya ni Ksh 23mln sasa hapo tujiongeze kama watzKweli watu mpo gizani, hapa hapa Tanzania ubungo hapo kuna bus za milion mia 7 unasema bei hiyo? Hivi unafikiri zile Marcopolo za Abood na Hood walinunua sh ngapi? Milion mia 5 na kitu, ila guarantee yake ni miaka 10.. Msione vyuma vya watu vipo road mkachukulia poa! Unazungumzia faida? Unajua scania r au g mpya ya kwenye makaratasi inauzwa bei zaidi ya hiyo iliyotajwa kwenye haya mabus? Hapo ni horse tu hujagusa trailer? Hiyo ni bei ya kawaida sana Mkuu.
Duh!! nilikuwa sijui kumbe ukiona mtu ameweka mabasi zaidi ya kumi barabarani inatakiwa kumheshimu aisee.....Kweli watu mpo gizani, hapa hapa Tanzania ubungo hapo kuna bus za milion mia 7 unasema bei hiyo? Hivi unafikiri zile Marcopolo za Abood na Hood walinunua sh ngapi? Milion mia 5 na kitu, ila guarantee yake ni miaka 10.. Msione vyuma vya watu vipo road mkachukulia poa! Unazungumzia faida? Unajua scania r au g mpya ya kwenye makaratasi inauzwa bei zaidi ya hiyo iliyotajwa kwenye haya mabus? Hapo ni horse tu hujagusa trailer? Hiyo ni bei ya kawaida sana Mkuu.
Aaaah Mangi mbona unapaniki sasaKitu kama hujui funga bakuli
mkuu hiyo bei mbona nafuu sana, kumbuka hiyo ni scania sio Zongtong, zile Marcopolo za scandinavia express hadi leo ziko barabarani wakati youtong za juzi ziko juu ya mawe,$217,000 × 2230= Tshs 483,910,000.
Muwe mna acha Ujinga.
Hilo ni Bas au Bombadier ya Magufuri?
...Hivi bei wakiweka kwa TZS ndo hawataeleweka?Hii imekaa vzr kiuchumi
Ili kuwawezesha wazawa serikali ipige marufuku uingizaji wa mabasi kutoka nje, hizi za mchina iko kwenye lami inarukaruka utafikiri umepanda fuso la mchanga.Kampuni ya utengenezaji wa body za mabasi nchini katika ubora wa hali ya juu ya DAR COACH , sasa inawatangazia wamiliki wa mabasi nchini na nje ya nchi kuwa imeshusha bei ya bus zake.
Ushushwaji wa bei za bus kutoka DAR COACH haupunguzi ubora wake, isipokuwa ubora umeongezwa Mara dufu.
Ushushwaji wa bei ya bus kutoka DAR COACH umesababishwa na kampuni ya SCANIA kuiamini DAR COACH na kuamini ubora wa kazi zake katika chassis za scania hivyo kuamua kutoa PUNGUZO kubwa sana la bei za chassis zake model mpya 95 kwa DAR COACH.
Kwa bei hiyo ya chassis za scania, sasa hakuna haja ya kufuata bus China kwasababu utapata bus yenye sifa zifuatazo
1.full AC
2.fridge
3.luxury seats
4.automatic doors
5.automatic boot doors
6.luxury interior
7. 7 tv's
8.zhongtong body/Crystal body/Diamond body
Kwa bei ya U.S.D $217,000/= tu hapahapa nchini .
...Zaidi ya 400 millionhiyo ni shilingi ngapi kwa shilingi za kitz?
....Kwa sisi tunaowasoma hapa hatujui nani mkweli between you two, weka ukweli wako hapa lakini kusema tuu punguza uwongo au nani kakwambia haisaidii...Punguza uwongo wewe nani kakwambia ?au unaongea neno bila kulijua?wacha kurukia rukia mambo ya kiweredi
Mkuu kwanza tiririka na uzi utayakuta hayo unayohitaji....Kwa sisi tunaowasoma hapa hatujui nani mkweli between you two, weka ukweli wako hapa lakini kusema tuu punguza uwongo au nani kakwambia haisaidii...
Bado wapo Juu sana,hapo napata Zhong Tong 2Pesa ya madafu Tshs485Million