Dar Coach wazidi kushusha bei zao za uundaji body za mabasi

OTE="falcon mombasa, post: 20939960, member: 277389"]mkuu nashukuru kwa ushauri wako ila mimi sio mtu wa siasa kabisa pia mimi ni raia wa kawaida tu mkuu, serikali inapoteleza tunaikumbusha


Rais Magufuli awatakia heri ya Pasaka Watanzania wote
hatutaki

Angalia sasa chuki za wazi, ndo maana nikakushauri tafuta USERNAME nyingine uwe unajiachia...... HII SI NZURI SANA KWA BIASHARA[/QUOTE]
Tunatambua kazi yako bwana Mahesabu. Msamehe mshikaji wetu huyu, asije akaacha kuchangia katika Jamii Forum katika ishu izi magari
 
Du! kumbe basi jipya ni zaidi ya millioni 800?
400ed9157cc45ff91151a57925ec70d3.jpg
 
Back
Top Bottom