Dar Coach wazidi kushusha bei zao za uundaji body za mabasi

falcon mombasa

JF-Expert Member
Mar 5, 2015
9,186
9,287
Kampuni ya utengenezaji wa body za mabasi nchini katika ubora wa hali ya juu ya DAR COACH, sasa inawatangazia wamiliki wa mabasi nchini na nje ya nchi kuwa imeshusha bei ya bus zake.

Ushushwaji wa bei za bus kutoka DAR COACH haupunguzi ubora wake, isipokuwa ubora umeongezwa Mara dufu.

Ushushwaji wa bei ya bus kutoka DAR COACH umesababishwa na kampuni ya SCANIA kuiamini DAR COACH na kuamini ubora wa kazi zake katika chassis za scania hivyo kuamua kutoa PUNGUZO kubwa sana la bei za chassis zake model mpya 95 kwa DAR COACH.

Kwa bei hiyo ya chassis za scania, sasa hakuna haja ya kufuata bus China kwasababu utapata bus yenye sifa zifuatazo
1.full AC
2.fridge
3.luxury seats
4.automatic doors
5.automatic boot doors
6.luxury interior
7. 7 tv's
8.zhongtong body/Crystal body/Diamond body

Kwa bei ya U.S.D $217,000/= tu hapahapa nchini .
 
Back
Top Bottom