Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kiwango mkuu kiwango aka TBSAu ni mimi ndo sielewi? Mbona toka kitambo sana bus nyingi zenye engine na chassis za scania body zake zilikuwa zinaundwa na Dar coach? Nilichokuwa nakifahamu ni kuwa mmiliki wa kampuni let's say Arusha Express au Hai Express au whatever Express anaagiza chasis, engine na other accessories, then vikishafika kunakuwa na assemblers na kwa hapa TZ famous zaidi walikuwa ni Dar coach. Chunguza tu hata gari za Dar Express
CSN na CSL ni bodi za Volvo zamani ziliitwa TSK zilikuwa engine nyuma. Hiyo BUL ni bodi ya IRIZAR hakuna mkono wa Dar coach hapoBody inaitwa scania tanzanite......ila katika body zote walizotengeneza dar coach ,body ambayo ni nzuri sana ni body ya majinjah special CSN,CSL na BUL
Waambie Serikali wapunguze kodi za kuuza bodi zilizotengenezwa Tanzania wakashusha kodi kwa mabasi ya Kutoka nje.Bila kupoteza muda, nimepita kwenye page ya Dar coach (kampuni ya kitanzania ya kuunda bodi za mabasi) aise hawa jamaa wameunda bodi kali sana waliyoiita "tanzanite" ikiwa imevaa chasis ya scania.
Ushauri wekeni bei nzuri hili mlete upinzani kwa basi za kichina zinazozidi kuota mizizi nchini.
Pia jitahidini kufanya marketing kuwashawishi matajiri kama kina shabiby, zuberi, dar lux, sauli, dar express, klm, abood, bm, etc wanunue basi zenu....hao watasaidia kuleta chachu kwenye ushindani.
Tujivunie vya nyumbani....
Source ya picha-dar coach page, tbbView attachment 1150123View attachment 1150124View attachment 1150126View attachment 1150127View attachment 1150128View attachment 1150129View attachment 1150130
Sent from my SM-J727P using JamiiForums mobile app
Wachina wanakopesha mabus yao,sijui darcoach kama wanafanya hivyoKazi nzuri. Wachina wajipange bila shaka.
kama kweli hiyo kazi ya m,bongo kumbe inawezeka
Huu ndiyo ukweli, hao jamaa wapo muda mrefu na wamefanya kazi nyingi sana.Au ni mimi ndo sielewi? Mbona toka kitambo sana bus nyingi zenye engine na chassis za scania body zake zilikuwa zinaundwa na Dar coach? Nilichokuwa nakifahamu ni kuwa mmiliki wa kampuni let's say Arusha Express au Hai Express au whatever Express anaagiza chasis, engine na other accessories, then vikishafika kunakuwa na assemblers na kwa hapa TZ famous zaidi walikuwa ni Dar coach. Chunguza tu hata gari za Dar Express
CHUMA KIMESIMAMA SI MCHEZO.. THIS IS BRILLIANT, KWELI TUNAELEKEA PAZURI. I CAN ALSO RECOMMENDBila kupoteza muda, nimepita kwenye page ya Dar coach (kampuni ya kitanzania ya kuunda bodi za mabasi) aise hawa jamaa wameunda bodi kali sana waliyoiita "tanzanite" ikiwa imevaa chasis ya scania.
Ushauri wekeni bei nzuri hili mlete upinzani kwa basi za kichina zinazozidi kuota mizizi nchini.
Pia jitahidini kufanya marketing kuwashawishi matajiri kama kina shabiby, zuberi, dar lux, sauli, dar express, klm, abood, bm, etc wanunue basi zenu....hao watasaidia kuleta chachu kwenye ushindani.
Tujivunie vya nyumbani....
Source ya picha-dar coach page, tbbView attachment 1150123View attachment 1150124View attachment 1150126View attachment 1150127View attachment 1150128View attachment 1150129View attachment 1150130
Sent from my SM-J727P using JamiiForums mobile app
I HOPE TUTAFIKA SEHEMU STAHIKI TU. KUNA KAMPUNI ARUSHA KAMA SIJAKOSEA YA WAHINDI WANAFUMA BODY ZA MAGARI YA TOURS AISEE NI MUSHKELI, BHALAA SANA!!Kwenye body tupo vizuri mkuu, kuna gari za utalii ukiambiwa body zake zinaundwa Bongo unaweza kukataa
Hawezi akaweka bei sawa na youtong maana magari yake ni chuma imara tofauti na mchina,, ukiuziwa Gari ya mchina m 200 na mwenzako akanunu scania ya m 400 Mwenye scania atadunda mchina akienda sana miaka m3 scania miaka 15 ni kawaida hadi 20Yanadumu sana ila tatizo ni bei yake. Wakiweka bei kama kina Yutong na wenzake lazima atasumbua kiasi.
Je anaweza tengeneza oda ngapi kwa mapema?
ameen ameeen ameeeen ameeeeenMm nikikaa kwenye Eicher tuu napitiliza kituooo,
Nikipanda hilo hakikaa naweza nipitilize mpk mbinguni,
Unashtuka paaaap upo kwa mzee baba anachochea moto pembeni unamuona magu ameshkiwa counter book quire 5 anasomewa mashtaka,
Nitakachoomba ni tender ya kuchochea kuni moto usipunguee.
CSN na CSL ni bodi za Volvo zamani ziliitwa TSK zilikuwa engine nyuma. Hiyo BUL ni bodi ya IRIZAR hakuna mkono wa Dar coach hapo
Kabisa mwanangu.... Nyumbani kwanzaMimi nikilikuta stand hilo bus,sipandi lingine na siulizi bei ya nauli maana ntajisikia raha Sana kupanda Tanzanite