Dar: BodaBoda na Bajaj Ruksa kuingia Mjini-Paul Makonda

Paul Makonda Bajaj na bodaboda ulizikataza kuingia Mjini ili kupunguza matukio ya uhalifu yaliyokuwa yakifanywa na madereva wa bodaboda na Bajaj wasio waaminifu.
Naomba unithibitishie kuwa madereva waliokuwa wakipora Sasa wote wameokoka, wananena kwa lugha na wanakemea mapepo🙏🙏
Unatengeneza kitu kuwakera wananchi then unarudi kuwatatulia wanakushangilia inawaongezea imani kwako.
 
Ufike wakati Watanzania tuwe na AKILI, tunapewa upendeleo wakati wa uchaguzi tu.
Vijana wa bodaboda wamenyanyaswa sana na mawakala wa Makonda, walikuwa wakitozwa 300,000 kama faini ya kuingia jijini, je wamesahau?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuanzia tarehe 1.11.2021 ni marufuku bodaboda na bajaji kuingia mjini labda za walemavu..... Mbele Kwa mbele...!!!
 
Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda amewataka waendesha pikipiki (boda boda) kuendelea kusafirisha abiria katika ya mji kama ilivyo kawaida.

Alizungumza leo jijini Dar es salaam Makonda amesema hakuna polisi yoyote kumkamata mwendesha pikipiki akiiingia katikati ya mji. “Bodaboda na bajaji sasa hivi mnaruhusiwa kuingia katikati ya mji kufanya shughuli zenu hakuna kukamatwa, kuna mpuuzi mmoja anapita pita kuwakamata wenye boda boda huko mjini kuna mkuu wa mkoa mmoja ndo mimi na nipo endeleeni kufanya shughuli zenu” amesema Makonda.

Ikumbukwe kuwa waendesha pikipiki (bodaboda)walizuiliwa kuingia mjini kutokana na kupunguza msongamano katikati ya mji.
????!!!!!
 
Kuanzia tarehe 1.11.2021 ni marufuku bodaboda na bajaji kuingia mjini labda za walemavu..... Mbele Kwa mbele...!!!
Taarifa za hivi punde Makala amekataa hilo hadi watakapokaa 1.11.2021 na wadau ndipo atatoa tamko jipya.
Namuunga mkono Makala, kila kitu kifanyike kwa utaratibu.
 
Back
Top Bottom