DAR bila uchafu inawezekana?

101 East

JF-Expert Member
Feb 25, 2015
1,040
2,118
Hiki kizimba kipo pale morroco opposite na ofisi za Airtel kituo Cha kuelekea town barabara ya AH MWINYI yaani Ni zaidi ya miezi sita au mwaka Sasa hiki kizimba kimejaa uchafu na wahusika hawajafika kuja kutoa huo uchafu
Kusema kweli hakileti picha nzuri na kinaonesha jinsi gani tulivyo lazy katika majukumu yetu
Tap and save post kwenye mitandao mingine na kushare mpaka huu uchafu uondolewe yaani ukiwa na chip ya maji umeshuka nayo kwenye daladala utatafuta wapi pa kuitupa hapo kwenye kizimba

Nauliza dar bila ya uchafu itawezekana?
IMG_20190126_163054.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom