Dar: Basi la Dar Express lawaka moto Bunju

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,574
8,592
Basi la Kampuni ya Dar Express limeungua maeneo ya Bunju hakuna taarifa za majeruhi

=====

Basi la 'Dar Express' likitokea mkoani kuja Dar es salaam, linateketea kwa moto muda huu eneo la Bunju jijini Dar es Salaam.

Kikosi cha zimamoto kinaendelea na zoezi la uzimaji sasa, chanzo cha moto bado hakijajulikana.
IMG-20180708-WA0289.jpg
IMG-20180708-WA0285.jpg

 
Back
Top Bottom