Dar, Banana: Rais Magufuli azindua nyumba za Askari Magereza Ukonga

Wanasaikolojia wanatuambia...mara nyingi tunachukia SANA mambo ambayo sisi wenyewe kiundani ndiyo tunayatenda....
Mathalani, muongo humchukia muongo.....
Au mwizi humchukia mwizi........




Everyday is Saturday...........:cool:
 
  • Thanks
Reactions: prs
Magufuli ni kiboka kama kala kichwa cha ninja siku moja tutasikia kuwa kichwa cha mama Janet kimeliwa.
 
wizara ya mambo ya ndani ina naibu katibu mkuu ambaye ni bila shaka ni TISS na alishawahi kuwa mkurugenzi wa tume ya taifa ya uchaguzi bwana ramadhani kailima na bado lugola alibariki kifanyike kilichofanyika duuuhh
 
Nimsaidie, majengo ni ya waajiriwa wa serikali ambao ni watoto na ndugu wa hao watu wa vijijini. Wengine wanasomesha wadogo zao huko. Pia kazi zao ni kuhakikisha wale vibaka, wezi na majambazi yanayosumbua huko kijijini na mjini yakikamatwa basi yanadhibitiwa kisawa sawa.
Angalau hata wewe umekuwa na majibu, huyo ana vichambo tu.
.
Lakini mkuu hao si wapiga kura wa Magufuli 99.9% wajelajela nawajua ni wanaa, wapiga kura wa Magufuli wako vijijini huko.
.
leo hii ukimwambia huyo mpiga kura kwa mfano wa Lunzewe wakati wa Kampeni umejenga nyumba za askari Magereza DSM wakati anakitazama kituo cha polisi cha lunzewe kikiwa kimechakaa vibaya mno,anatazama mfukoni hela hana na kazi anapiga za maduara kiasi kwamba akikushika usoni anakuchana, akiugua akaenda hospital dawa hakuna anaambiwa nenda Katoro au Buseresere ama Nzera kabisa huko anaenda anaambiwa akanunue huyu mtu akikupiga mawe atakuwa amekosea?
 
Back
Top Bottom