Kunataarifa kuwa askari wanee wameuliwa kwa kupigwa risasi na watu wanaohisiwa kuwa majambazi. Wakapora siraha.
Ukweli tukio kama hili tuweke tofauti zetu za vyama, dini, pembeni tukemee kwa pamoja.
Jiulizeni kama RAIA NDIYO pekee wangekuwa wameuliwa kwenye tukio, kelele zibgepazwa kwa jeshi la POLISI kuwa wamezembea.Sasa vijana wenzetu wamejitoa kufia NCHI Kuna watu wanakejeri.
Pia bunduki zilizoporwa hatujui zitatumika wapi na tukio gani. Huenda ujangiri ukaongezeka, ujambazi ukaongezeka, utekaji WA mabasi n.k
Leo unaweza kushangilia lakini kesho ukalia na lusaga meno, au ukaliliwa.
WITO KWA JESHI LA POLISI
Ningependa kushauri mambo matatu jeshi letu lenye uaminifu mkubwa.
1.Liwe karibu na RAIA ili lipate taarifa za kiintelijensia. Maana maadui ni sehemu ya JAMII, wasitishe watu wataogopa HATA kuwapa taarifa nyeti kama wanazo kuhusu waharifu
2.Wajenge utamaduni wa political neutrality, wasiegemee upande wowote wa CHAMA, kufanya hiyo kunaleta manung'uniko upande ambao unahisi kuonewa. Pia mtoa taarifa ya uharifu kwa POLISI hstujui ni CHAMA gani. Anaweza akapuuzia kutoa taarifa KWA kukosa imani na jeshi hili.
3.Chunguzeni uaminifu ndani ya jeshi lenu. Huenda Kuna POLISI wasio waaminifu wanao lihujumu jeshi letu tukufu. Wakigundulika muwatumbue.