Dar: Apandishwa kizimbani, kwa kosa la kumuua mwanaye wa siku moja

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,658
55,485
Mkazi wa Makumbusho Dar es Salaam, Hadija Jeremiah (23) amepandishwa kizimbani kwa tuhuma za mauaji ya mtoto mchanga wa siku moja,ambaye inadaiwa alimuua baada ya kujifungua.
 
Huyo dada hana kosa, atakua anaugua Postpartum Depression. Huu ni ugonjwa ambao huwa unawaadhiri wazazi wapya wa jinsia zote mbili mara baada ya mama kujifungua. Postpartum depression (PPD), also called postnatal depression, is a type of clinical depression which can affect both sexes after childbirth. Symptoms may include sadness, low energy, changes in sleeping and eating patterns, reduced desire for sex, crying episodes, anxiety, and irritability. For further info kindly click on this link; Postpartum depression - Wikipedia, the free encyclopedia
 
Unamaanisha kachelewa kufanya abortion kaifanya mda umekwenda, watu wana Fanya abortion ya watoto mpaka wa miaka 10
 
Huyo dada hana kosa, atakua anaugua Postpartum Depression. Huu ni ugonjwa ambao huwa unawaadhiri wazazi wapya wa jinsia zote mbili mara baada ya mama kujifungua. Postpartum depression (PPD), also called postnatal depression, is a type of clinical depression which can affect both sexes after childbirth. Symptoms may include sadness, low energy, changes in sleeping and eating patterns, reduced desire for sex, crying episodes, anxiety, and irritability. For further info kindly click on this link; Postpartum depression - Wikipedia, the free encyclopedia
Iyo I don't know PPD ndo imemfanya amuue sasa?
 
Magonjwa ya akili hayo. Huyo anatakiwa kupelekwa hospitali ya vichaa sio mahakamani, hawa wanaompeleka mahakamani nao ni wagonjwa
 
Iyo I don't know PPD ndo imemfanya amuue sasa?

Ndio, Postpartum Depression huwa inamfanya mtu anakua kama kichaa na mara nyingi mtu kama huyo anakua ni hatari kwake mwenyewe na kwa mtoto wake. Kuna mama mmoja Kenya alimla mtoto wake watu wakadhani ni mambo ya kishirikina kumbe ni PPD. Mzazi mpya ni very vulnerable na tunatakiwa kuwaangalia kwa jicho la tatu.
 
Inawapata wachache tu eh
 
huwa hayo maradhi yanawapata watu wachache au inakuwaje kwani mbona wengine wakizaa hawagi hivyo?
 
Huyo dada hana kosa, atakua anaugua Postpartum Depression. Huu ni ugonjwa ambao huwa unawaadhiri wazazi wapya wa jinsia zote mbili mara baada ya mama kujifungua. Postpartum depression (PPD), also called postnatal depression, is a type of clinical depression which can affect both sexes after childbirth. Symptoms may include sadness, low energy, changes in sleeping and eating patterns, reduced desire for sex, crying episodes, anxiety, and irritability. For further info kindly click on this link; Postpartum depression - Wikipedia, the free encyclopedia
Ngoja nikuunganishe na mwanasheria wake!
 
huwa hayo maradhi yanawapata watu wachache au inakuwaje kwani mbona wengine wakizaa hawagi hivyo?

Actually Most new mothers experience the "baby blues" after delivery. About 1 out of every 10 of these women will develop a more severe and longer-lasting depression after delivery. About 1 in 1,000 women develops a more serious condition called postpartum psychosis.

What Are the Risk Factors for Getting Postpartum Depression?
A number of factors can increase the risk of postpartum depression, including:

  • a history of depression during pregnancy (this girl was probably depressed during her pregnancy, maisha ya bongo yenyewe stress tupu!)
  • age at time of pregnancy -- the younger you are, the higher the risk (this girl was only 22yrs old when she conceived, so most likely she was more prone to depression than a more mature woman).
  • ambivalence about the pregnancy
  • children -- the more you have, the more likely you are to be depressed in a subsequent pregnancy
  • having a history of depression or premenstrual dysphoric disorder (PMDD)
  • limited social support (she probably didn't have friends or family supporting her alivyo jifungua)
  • living alone (usikute ni single mother anakaa chumba kimoja yy tu na kichanga chake)
  • marital conflict (she probably had a good for nothing man in her life who was not helpful in anyway).
Kifupi, mambo ni mengi yanayo weza kuchangia PPD na ukweli ni kwamba all new mothers experience some levels of depression after birth due to a hormonal imbalance. Mm nakumbuka when i was a new mother na mtoto alikua na colic (chango) so alikua analia through out the night & i would get so frustrated to the point that i would start crying along with him, sometimes it was depressing but luckily i had family around to help me. Every woman experiences some levels of depression after birth but wengine wana react differently and without the right support in can lead to PPD, a form of major depression that has its onset within four weeks after delivery.
 
Inawapata wachache tu eh

Kila mwanamke baada ya kujifungua huwa anapata some levels of depression due to a drop in hormones level. Ndo maana huwa tunashauriwa mwanamke mjamzito kumeza supplements before and after delivery ili kubalance hormanal levels zake.
 
Hehehe hormones zinaweza kumfanya mtu amle mwanae?? Anyways nimekuelewa miss umetetea kisayansi as u know, ingekua ni ugonjwa as u said tungeshaliwaga wengi tu
 
Inategemea huo ugonjwa umemuadhili kiasi gani, Ila huu ugonjwa wanawake wengi tunaugua bila kujua. Utasikia ukijifungua huna raha, mala unalia bila sababu, na unaishia kujipa moyo kua itaisha, lakini kwa inchi zilizoendelea mama anatibiwa mala baada tu ya kujifungua kwa mala ya kwanza. Hata kwa wana sheria wanaelewa sana issue hizi.
 
Kichaa cha mimba ni kibaya kuna dada alijirusha ghorofani muhimbili baada ya kujifungua. This is serious si utani. Unajua mle labor ward katika ile stage unakua kama si wewe.
 
Inategemea huo ugonjwa umemuadhili kiasi gani, Ila huu ugonjwa wanawake wengi tunaugua bila kujua. Utasikia ukijifungua huna raha, mala unalia bila sababu, na unaishia kujipa moyo kua itaisha, lakini kwa inchi zilizoendelea mama anatibiwa mala baada tu ya kujifungua kwa mala ya kwanza. Hata kwa wana sheria wanaelewa sana issue hizi.
Ok labda kweli
 
huwa hayo maradhi yanawapata watu wachache au inakuwaje kwani mbona wengine wakizaa hawagi hivyo?
Kwani ni mara ngapi umekutana na watu wenye maradhi mbalimbali na hujaambukizwa Na wengine wanaambukizwa? Mbona kuna watu wanazaa kwa kisu wengine wanapush? Unafikiri wengine wanapenda kisu? Ni maumbile 2. Kuna watu wanasex na HIV+ people na hawapati. Wengine wanapata
 
Thank you

Back
Top Bottom