Dar: Amchoma mpenzi wake na Petroli kisa wivu wa mapenzi

Achaneni na wanawake,zaeni tu Kama wanyama,Mambo ya kuoana na kuishi wote ndo matokeo yake
 
Nakufaaaaa neemaa nakufaaaaa nisameeheenakufaaaaaa jamaninsaidieeni kelelezamwisho.alisikika jamaaaaa kumbe neeme ashampitia visuvyamaana gaflanamoshii ukamchanganyakabisaaa
Kumbe Pdidy jirani yangu kabisa wewe. Kweli JF unaweza kumtusi baba yako bila kujua
 
Huyo mwanaume alikuwa mlemavu au mtu wa mitungi au kikongwe?

Mwanaume mwenye utimilifu wa mwili na akili, huwezi chomwa ndani ya nyumba na usitafute means za kutoka nje hata kwa kupitia kwenye dari, kisha kutoka kupitia roof
Tatizo mtu anamuacha analala usingizi kwanza. Kisha ndo anawasha moto.wa petrol akiwa ashafunga mlango kwa.nje. Ni ngumu mtu kujiokoa. Rejea vifo vya morogoro ilipochomolewa betri wakati watu wanachota mafuta. Siyo rahisi kama unavyofikria. Kumbuka hawa wa Morogoro hapakuwepo ukuta wala dirisha, ni sehemu ya wazi. Sembuse huyu aliyefungiwa ndani!
 
Huyu dada namfahamu vizuri, na muda mrefu nilimuona ana matatizo fulani ya kisaikolijia isipokuwa inavyoonekana jamii inayomzunguka ilimchukulia kama mtu fulani mkorofi so akakosa tiba sahihi. Hata ulikuwa ukienda pale njia panda ya Makabe alipokuwa anauza kongoro alikuwa ni mtu mkorofi mkorofi hivi, kidogo tu kagombana na mteja. Huyo zungu hakuwa mumewe bali hawara tu, kilichomuuzi nafikiri ni kugundua kwamba Zungu alikuwa na mwanamke wake mwingine na mtoto.
Muuza supu ya kongoro kawa maarufu
 
Hakuwa mumewe ni vimada tu na walikuwa wameshaachana ila huyu mwanamke jana akamtega dogo Zungu kwa bia za bure kisha akampeleka chumbani kwake tena kwenye nyumba anayomiliki baba yake akaenda kumtia kiberiti nilisikitika sana alitolewa mule ndani kawa kama kuku aliyebanikwa.

Zungu tunamzika saa kumi hii hapa Msakuzi makaburi ya Makamba.
Zungu mteremko umemponza unanunuliwaje bia
 
Huyo mwanaume alikuwa mlemavu au mtu wa mitungi au kikongwe?

Mwanaume mwenye utimilifu wa mwili na akili, huwezi chomwa ndani ya nyumba na usitafute means za kutoka nje hata kwa kupitia kwenye dari, kisha kutoka kupitia roof
Umewaza kama mimi, unachomajwe kizembe hivyo
 
Hakuwa mumewe ni vimada tu na walikuwa wameshaachana ila huyu mwanamke jana akamtega dogo Zungu kwa bia za bure kisha akampeleka chumbani kwake tena kwenye nyumba anayomiliki baba yake akaenda kumtia kiberiti nilisikitika sana alitolewa mule ndani kawa kama kuku aliyebanikwa.

Zungu tunamzika saa kumi hii hapa Msakuzi makaburi ya Makamba.
Polen sana
 
Inawezekana Neema hajahusika , Kuna mkakati wa kutusumbia Wachaga, maana mara kachoma moto, mara kamtapeli Waziri mara kapigwa risasi bar wote Wachaga
 
Back
Top Bottom