Kinyungu
JF-Expert Member
- Apr 6, 2008
- 17,367
- 33,008
Wakati tunaendelea kupigia chapuo Filamu yetu ya Royal Tour (Mimi naunga mkono mia mia) naomba tukumbushane tu kuwa tusisahau viwanja vyetu vya ndege. Hivi viwanja ndiyo uso wa nchi yetu. Mgeni anapofika kwenye uwanja ndege mara moja anaweza kujua amefika kwenye nchi ya namna gani kutokana na ubora wa huduma anazopewa na ukarimu.
Mtandao wa Shirika la Ujerumani la DW limeutaja Uwanja wa ndege wa Julius Nyerere wa jijini Dar es Salaam kama moja ya viwanja vitano vinavyoongoza kwa huduma duni barani Africa. Viwanja vingine vilivyo kamilisha viwanja vitano vyenye huduma duni ni:
1. Khartoum Arport wa Sudan
2. Ndjili Airport wa Kinshasa DRC
3. Tripoli Int. Airport Libya
4. N'dajamena Int. Airport wa Chad
5. Julius Nyerere Int. Airport Dsm Tz
Serikali tupieni macho Dar Airport msijekuwa mnatwanga maji kwenye kinu. Nyie mnapambana kuleta watalii wenzenu pale Airport ya Dar wanapambana kuwafukuza.

Why Africa is home to the world's 'worst airports' – DW – 04/12/2022
Air France is suspending operations in Liberia citing poor profits and geopolitics. But a DW in-depth look at African airports found a range of issues such as lack of infrastructure and unsatisfactory customer care.
m.dw.com