Dar: Afungwa maisha jela kwa kumlawiti mtoto wa miaka tisa

Atakua ostadhi tu uyo
Wewe kweli ni shetan kama ulivyojiita mwenyewe. Hao mapadre kila siku wanawalawiti watoto na kanisa linakemea kila siku umeshawahi kusikia mapadre ni waislamu?

Huyo papa wa kanisa katoliki kila mara amekuwa akiomba msamaha kwa niaba ya kanisa kwa visa vya ulawiti makanisani.
 
Sawa sheikh .muache kuf*ra watoto kwa mgongo wa kaswida
 
Sawa sheikh .muache kuf*ra watoto kwa mgongo wa kaswida
Kashfa za ulawiti makanisani huwa unazisikia?

Nachukizwa sana na vitendo vya ulawiti sio kwa waislam,wakristu wala kwa wasio na dini.

Vitendo hivi havikubaliki kamwe na huwa havihusiani na imani yoyote maana makanisani tunavisikia visa hivi tena papa wa kanisa katoliki anasimama hadharani nakuomna msamaha kwa jamii ya ulimwengu.

Vivyo hivyo vinatokea kwa upande wa uislam na hata wasiokuwa na dini. Tuache chuki zisizo na faida kwa namna yoyote ile.
 
Wewe nawe hueleweki..unachukia vitendo hivyo..ila unamlinda ostaz..

#MaendeleoHayanaChama
 
fuckin rubbish and useless guy...

kumuweka jela miaka 30 ni kupoteza rasilimari zetu walipa kodi... kama ushahidi wote uko clear atumbukizwe kwenye pipa lenye sumu ya cyanide, au akatwekatwe vipande wakale papa huko deep sea...
 
Atakua ostadhi tu uyo
 
Mahakama ya Wilaya ya Temeke imemuhukumu Mkazi wa Chamanzi, Said Wanie (35) kifungo cha maisha kwa kosa la kumlawiti mtoto wa kiume mwenye umri wa miaka tisa.

Pia mahakama hiyo imemuagiza mshtakiwa huyo kumlipa mtoto huyo fidia ya kiasi cha Sh. 500,000.

Kati ya Mei 3, 2020 maeneo ya Chamanzi Wilaya ya Temeke mshtakiwa huyo alimlawiti mtoto huyo huku akijua kufanya hivyo ni kosa la kisheria.

Akitoa hukumu hiyo Hakimu Mkazi, Anna Mpessa alisema mahakama hiyo imejiridhisha na ushahidi uliotolewa na mtoto mwenyewe pamoja na vielelezo vilivyotolewa na daktari vikionyesha kuwa mtoto huyo amelawitiwa.

Mpessa alisema katika ushahidi uliotolewa na mtoto mwenyewe ulidai kuwa akiwa maeneo ya nyumbani kwao anacheza mshtakiwa huyo alifika na kumwambia alikuwa anaitwa na mtu aliyetambulika kwa jina moja la Musa ambaye ni mlinzi wa Shule ya Sekondari ya Chamanzi.

Alisema mtoto huyo aliieleza mahakama hiyo kuwa aliongozana mshtakiwa huyo mpaka kwenye choo cha shule hiyo na alipoingia ndani alifunga mlango kisha akamvua nguo na kummwagia maji mwili mzima baadaye alianza kumlawiti .

Mpessa alisema mtoto huyo alidai baada ya kumfanyia vitendo hivyo mshtakiwa aliondoka na kumwacha hapo chooni na alipofika nyumbani alimweleza dada yake kuhusiana na kitendo hicho ambapo naye alimweleza mama yake..

Alisema kutoka na ushahidi uliotolewa na upande wa mashtaka akiwemo mtoto mwenyewe hakuwa na shaka yoyote hivyo mahakama hiyo ilimtia hatiani mshtakiwa huyo.

"Hivyo mahakama hii inakuhukumu kwenda jela maisha kwa kosa la kumlawiti mtoto wa miaka tisa na pia unatakiwa umlipe fidia ya kiasi cha Sh 500,000.

Awali Wakili wa Serikali, Eric Shija aliomba kuwa mahakama hiyo itoe adhabu kali Kwa mshtakiwa huyo ili iwe fundisho kwa wengine.

Mwananchi
Ila what if huyo mtoto kachanganya mafaili na kumpoint mtu tofauti ? 🤷🏽‍♂️
 
9 Reactions
Reply
Back
Top Bottom