Dar: Afa maji alipopiga mbizi kuwakwepa Polisi

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,658
55,485
Mtu mmoja amefariki dunia baada ya kuingia kwenye maji wakati akifuatwa na Polisi eneo la Posta ya Zamani.

Taarifa zaidi zinakuja punde
 
Mtu mmoja amefariki dunia baada ya kuingia kwenye maji wakati akifatwa na Polisi eneo la Posta ya Zamani.

Taarifa zaidi zinakuja punde
Duh! Very sad. Kwa sasa mashetani yanamgombea kama mpira wa kona. Kifo cha kijinga kweli kweli. Hata kama alikuwa kibaka angesubiri tu polisi wamkamate. Kipi bora, kichapo cha polisi au kifo cha kujitakia?
 
Back
Top Bottom