jmushi1
Platinum Member
- Nov 2, 2007
- 24,989
- 22,521
AshaDii, nakubaliana na mengi uliyoyasema.Lakini je kulikuwepo na efforts zozote za kuhakikisha kuwa umuhimu wake ulikuwa communicated to the people?Jmushi... Mwalimu alisema "Socialism can not be imposed on people; they can be guided, they can be led but ultimately they must be involved" Lakini pamoja na maneno yake hayo bado ilimbidi aje apitishe Act inayohusiana na Ujamaa [The Ujamaa Village Act 1975] naamini kwa nia yake njema kabisa, kumbuka ndio tulikua tumetoka kupata Uhuru sio mda mrefu na mwalimu was so set on kuhakikisha kila mwananchi aonje matunda ya kua huru yapo vipi. Hata hivo kama ilivo ada kwa walo wengi kukubali kwa ridha ile displacement ilikua ni tatizo.... Kwa mtazamo huu ni lazima he had to opt for a more firm approach ya "ulazima"
Naamini as a leader kuna some decisions unapaswa kuchukua for the betterment of your people. Kile ambacho alifanya for Ujamaa kufanikiwa ilikua ni compulsory.... Kwamba ilikua action ya Ki dictator? That is dependant on one's perspective I guess... na hilo ndilo moja ya ambalo linamshindishwa JK kutoa maamuzi binafsi kwa vigezo vya ushirikishi, fact ambayo inazidi yumbisha yanayo yumba.
Kama walihamishiwa ili waende sehemu zenye rutuba zaidi, je kwanini walikataa?Kuna mwanakijiji ambaye hatopenda kuona mavuno zaidi etc etc?
Ama ni yale yale ya kwamba boss keshaamuwa basi wewe ni kufuata tu?
sijawahi kupata taarifa kwamba kulifanyika jitihada zozote za kuwaelimisha wananchi manufaa hayo ya kuhamia uko walipotakiwa kuhamia.
Hiyo guidance unayoisema ni "ya mwalimu" kuhusu socialism ni ile ya kumlazimisha ng'ombe kunywa maji?lol