Daniel Chongolo: Tume huru ya Uchaguzi haileti chakula

Katibu mkuu wa CCM hataki Tume Huru ya Uchaguzi kwa sababu haileti chakula! Hivyo anataka kuendelea na tume iliyopo ili CCM iendelee kubaki madarakani kwa sababu anadai Tume Huru ya Uchaguzi ni ya wanasiasa kuwekwa madarakani...
Nadhani huyu ndio anaweza kuwa Katibu Mkuu duni kabisa wa CCM akimpiku Mukama
 
Chama cha majambazi kweli kweli.
Katibu mkuu wa CCM hataki Tume Huru ya Uchaguzi kwa sababu haileti chakula! Hivyo anataka kuendelea na tume iliyopo ili CCM iendelee kubaki madarakani kwa sababu anadai Tume Huru ya Uchaguzi ni ya wanasiasa kuwekwa madarakani...
 
Katibu mkuu wa CCM hataki Tume Huru ya Uchaguzi kwa sababu haileti chakula! Hivyo anataka kuendelea na tume iliyopo ili CCM iendelee kubaki madarakani kwa sababu anadai Tume Huru ya Uchaguzi ni ya wanasiasa kuwekwa madarakani...
Hivi CCM huwa haina watu wenye akili wa kuweza kushika nafasi kubwa za uongozi ndani ya chama? Huyu akili yake inaishia kufikiria kula tu. Kisichohusu chakula, kwake hakina maana.
 
Elimu Elimu Elimu X 10000000000000000000
 
Katibu mkuu wa CCM hataki Tume Huru ya Uchaguzi kwa sababu haileti chakula! Hivyo anataka kuendelea na tume iliyopo ili CCM iendelee kubaki madarakani kwa sababu anadai Tume Huru ya Uchaguzi ni ya wanasiasa kuwekwa madarakani...
CCM wana akili ndogo sana sana sijawahi kuwaza
 
Katibu mkuu wa CCM hataki Tume Huru ya Uchaguzi kwa sababu haileti chakula! Hivyo anataka kuendelea na tume iliyopo ili CCM iendelee kubaki madarakani kwa sababu anadai Tume Huru ya Uchaguzi ni ya wanasiasa kuwekwa madarakani...
Ikiwepo tume huru hata chogolo atapigia upinzani, anaonekana tu, ndio kamfanyia samie ugaidi asije kugombea
 
Katibu mkuu wa CCM hataki Tume Huru ya Uchaguzi kwa sababu haileti chakula! Hivyo anataka kuendelea na tume iliyopo ili CCM iendelee kubaki madarakani kwa sababu anadai Tume Huru ya Uchaguzi ni ya wanasiasa kuwekwa madarakani.

Kwa akili hizi za viongozi wa CCM bado tuna safari ndefu kupata viongozi watakaochaguliwa na wananchi.

Hivi hawa watu wanaokotwa wapi?

Hivi leo hii Match ya simba na yanga ichezeshwe na mwamuzi ambaye Simba ndio wamemchagua?

Hiyo match itakuwa fair?

Now I know kuwa akili zao zipo matumboni ndio maana wanaongea ujinga.
 
Hivi CCM huwa haina watu wenye akili wa kuweza kushika nafasi kubwa za uongozi ndani ya chama? Huyu akili yake inaishia kufikiria kula tu. Kisichohusu chakula, kwake hakina maana.
Chongolo ni mpumbavu!
 
Ishiii ivi kumbe tuna viongozi wajinga kupindukia.

Yaan Kwamba Tume huru ya Uchaguzi, haiwaletei wao CHAKULA.

Kwamba hii tume iliyopo, inawajaziaa wao na familia zao vyakula.
Iliyopo inawasababishia wa tz,njaa,maradhi na umaskini,ila inawashibisha na kuwaneemesha wale wa mtaa wakijani.
 
How possible kiongozi wa chama anakuwa na akili ndogo namna hii?Yaani anashindwa kuunganisha uhusiano uliopo kati ya utawala bora na demokrasia na maendeleo katika nchi?!Afrika ina vituko aisee!🚶🚶🚶
 
Katibu mkuu wa CCM hataki Tume Huru ya Uchaguzi kwa sababu haileti chakula! Hivyo anataka kuendelea na tume iliyopo ili CCM iendelee kubaki madarakani kwa sababu anadai Tume Huru ya Uchaguzi ni ya wanasiasa kuwekwa madarakani.

Kwa akili hizi za viongozi wa CCM bado tuna safari ndefu kupata viongozi watakaochaguliwa na wananchi.

Tume huru ya uchaguzi inaleta haki.Haki huinua taifa!!!
 
Back
Top Bottom