Daniel Chongolo awa Katibu Mkuu CCM

Lugha ya Malkia kwake ni changamoto
Kwani lugha ya malkia inaongeza nn ktk maisha yake? Marais wangapi hawaijui? Unamjua Marcelo Bielsa kocha wa leeds United alichokisema juzi hapa? Yupo uingereza miaka kibao na hajui hiyo lugha na team kaipandisha championship mpaka leo ipo ligi kuu na msimu ujao wapo, hakijui kimalkia
 
Pumbavu kweli wewe

Hivi unadhani wakina Mangula, Rais Samia na Wazee wale wastaafu na system ya nchi akili hawana ila wewe kenge ndio una akili
Wewe ndiye .....kama unafikra za kushikiwa bado,hao wameshuka leo TZ hapa,mbona wapo na uozo upo kitambo na kila sehemu tu!???
 
Kwani Bashite anasemaje ? Bado anaota tu ? Mwambie ana mikono imejaa damu ....huko duniani hatakiwi!!!
 
Hii Dunia n mzunguko na cheo n dhamana enzi za jpm makonda alikua Rc hku chongolo akiwa DC wa kinondoni Leo hii chongolo n boss wa makonda na wamektanishwa aiseh tujifunze kuishi vizuri na Kila mtu
 
Ni kweli wamekutana tena huko juu
 
Back
Top Bottom