Dangote ndiye aliyesababisha Julieth Kairuki kufukuzwa kazi TIC

HNIC

JF-Expert Member
Sep 6, 2011
1,898
2,195
Mnakumbuka yule mwanamama aliyekuwa anaanyakazi kama mkurugenzi wa TIC bila kuchukua mshahara?

Bas kumbe moja ya sababu kubwa zilizopelekea afukuzwe kazi ilikuwa ni kutimiza wajibu wake na mwongozo wa Tanzania Investment Centre (TIC) kupatia Kampuni investment incentives kama ambavyo wawekezaji wengine hupewa

Tanzania Investment Centre


To be continued....
 
3cc9e7abb1566c29724758e759ef39e5.jpg
 
kama walimpa unafuu wa kodi na mambo mengine kama gas ,bandari na umeme..........kwa bei ya wawekezaji leo waamgeuka wanategemea afanye nini? akiondoka hakuna mwekezaji ataekuja tena maana upuuzi kabisa unakubaliana na serikali hii ikitoka wanakugeuka eboo serikali sio watu ni taasisi
 
kwa wenye uelewa anisaidia hili deal la dangote si ilikuwa apewe na mbinga coal mine baada ya Tanesco kufail kusupply power ?
Wakat Dangote anaingia deal na Tancoal GoT ilikuwa wapi kuzuia asifikie huko kama ilikuwa inaanda utaratibu wa firms zote in cement industry kununua coal ngaka ? na dangote using diesel was known kuwa ni temporary tu kina Msomba walikuwa wapi kuja na soln mpk mtu ana sitisha production ?
 
Haya mambo ya dangote nahisi mheshimiwa alishayatolea maelezo kwamba kuna makaburi mengine ukifukuwa kufikia itakuwa ngumu, sasa kuchimba chimba kwenu yatafukuliwa tu...hapa lazima kuna kitu kinaendelea chini chini
 
Back
Top Bottom