Mr Hero
JF-Expert Member
- Jun 11, 2015
- 5,540
- 7,452
Nimeona kwenye page ya millardayo kuwa Dangote amekodi generator 75 toka China kwa sababu tu TANESCO wameshindwa kuzalisha umeme wa kuendesha kiwanada.
Sasa hapa nawaza ile Tanzania ya viwanda itaendeshwa kwa kutumia nini?
Kampumi ya Dangote iliomba pia serikalini mwaka 2014 leseni iruhusiwe kuzalisha umeme ambao wangetumia wao kwenye kiwanda na maeneo jirani sijui ombi lao kama lilikubaliwa au laa.
Prof Muhongo bado sana, kazi iliyopo mbele ni kubwa kuzidi tunavyofikiria!!