DANGOTE Atangaza Ajira Za Madereva Wa Magari Makubwa Zaidi Ya 500

TataMadiba

JF-Expert Member
Feb 7, 2014
9,866
5,742
Kiwanda cha kuzalisha Saruji cha DANGOTE TANZANIA kilichopo Mkoani Mtwara kinaalika maombi ya kazi ya Madereva wa Magari makubwa 594.
Sifa, Viambatisho na na namna ya kuwasilisha maombi ni kama inavyoonekana kwenye tangazo lenye kumbukumbu namba DIL/A00/2016/01 la tarehe 16 Desemba, 2016 hapo chini.
Aidha barua zote zitumwe kwa njia posta kwa anwani kama ilivyooneshwa kwenye tangazo.

IMG-20161216-WA0000.jpg



Muhimu:
1. Barua zote zitakazopelekwa kiwandani kwa njia ya mkono hazitafanyiwa kazi
2. Mwisho wa kupokea maombi ni Desemba 30, 2016 saa 6 mchana
3. Usikubali kudanganywa na matapeli wanaozunguka maeneo ya kiwanda na kuwapa pesa kwa madai kuwa watakusaidia kupata kazi na kwamba kuna watu wamewatuma kufanya hivyo.

Wenye sifa changamkieni fursa.
 
TataMadiba naomba mwongozo wako kuhusu hicho kiwango cha mshahara! hapo ni kama Tshs. ngapi?
 
Hii habari imekuja kimkakati zaidi....Wacha tuendelee na yaliyo kwenye trend kwanza.
 
tusaidie huko kiwango cha mshahara ndio tsh ngapi?
[HASHTAG]#BringBackBenAlive[/HASHTAG]
 
Habari ya mujini ni kuhusu kupotea kwa Ben Saanane na hii kamata kamata inayoendelea hapa nchini as if tuko Korea Kaskazini. Hofu imetanda kwa wananchi. Hivi nyie magamba, hii nchi mwaipeleka wapi?
 
Habari ya mujini ni kuhusu kupotea kwa Ben Saanane na hii kamata kamata inayoendelea hapa nchini as if tuko Korea Kaskazini. Hofu imetanda kwa wananchi. Hivi nyie magamba, hii nchi mwaipeleka wapi?
Wenzako wanataaka ajira, Ben anawahusu wenyewe mliomficha na kujifanya kusema ametekwa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom