dangerous situation


Glucky

Glucky

Senior Member
Joined
Dec 16, 2009
Messages
124
Likes
23
Points
35
Glucky

Glucky

Senior Member
Joined Dec 16, 2009
124 23 35
<TABLE style="WIDTH: 508px" cellSpacing=0 cellPadding=0 border=0><TBODY><TR><TD style="WIDTH: 518px; TEXT-ALIGN: center" vAlign=top>Mhh hii hatari</TD></TR><TR><TD style="WIDTH: 518px; TEXT-ALIGN: center" vAlign=top>
192.jpg
</TD></TR></TBODY></TABLE>
 
E

Exaud Minja

Member
Joined
Mar 13, 2009
Messages
84
Likes
2
Points
15
E

Exaud Minja

Member
Joined Mar 13, 2009
84 2 15
Hatari sana. Safari inaendelea au uaribifu umetokea wakiwa hapo hapo?
Kama ilitokea kabla ukaguzi ulishafanyika kujua kama patapitika.
 
American lady

American lady

Member
Joined
Jan 9, 2010
Messages
71
Likes
2
Points
0
American lady

American lady

Member
Joined Jan 9, 2010
71 2 0
saa hz wataka uongozi huko lzm wapitie si wanataka tuwape kura?
 
Ambassador

Ambassador

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2008
Messages
934
Likes
17
Points
35
Ambassador

Ambassador

JF-Expert Member
Joined Jun 2, 2008
934 17 35
Hali hii inachangiwa na wakandarasi wanaojenga chini ya viwango kwa sababu wakubwa waliowapa kazi wanataka mgao wao. Mwisho wa siku daraja linaonyesha limit ya tani 7 hata waliobeba tani 12 wanataka wapite. Si mnajua kinachoendelea kwenye mizani ya barabarani? Wizi mtupu!
 

Forum statistics

Threads 1,238,061
Members 475,830
Posts 29,310,531