Dangerous imported foods

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,314
33,108
The whole world is scared of China made 'black hearted goods'.Can you differentiate which one is made in the USA , Philippines , Taiwan or China ? For your Information ... the first 3 digits of the barcode is the country code wherein the product was made.Sample:all barcodes that start with 690.691.692 until 695 are all MADE IN CHINA. 471 is Made in Taiwan
SafeRedirect.aspx
This is our human right to know, but the government and related department never educate the public, therefore we have to RESCUE ourselves.Nowadays, Chinese businessmen know that consumers do not prefer products 'made in china', so they don't show from which country it is made. However, you may now refer to the barcode, remember if the first 3 digits is 690 to 695, then it is Made in China ..
00 ~ 13 USA & CANADA
30 ~ 37 FRANCE
40 ~ 44 GERMANY
49 ~ JAPAN
50 ~ UK
57 ~ Denmark
64 ~ Finland
76 ~ Switzerland and Lienchtenstein
628 ~ Saudi-Arabian
629 ~ United Arab Emirates
740 ~ 745 - Central America
All 480 Codes are Made in the Philippines.
.

WATCH WHAT YOU BUY. ESPECIALLY HIGHLINER FISH PRODUCTS; all come from China , even though the box says ' product of Canada ', it is from China and' processed' in Canada , that is, the coating is added and packaged in Canada only! The fish are raised in pens using chemicals that are banned here in Canada as cancer causing but legal in China . This was exposed on CBC TV's Marketplace .
This one will make you think before buying anything from China .

These undercover enclosed pictures speak a thousand words. Avoid buying all processed food packaged in ChinaUnlike in the U.S. And CANADA , China does not have laws regulating food processing







Do NOT buy food originating in China (or Vietnam or Thailand)! Take the time to read the labels and look for country of origin! STOP BUYING ANYTHING FROM CHINA . PERIOD!
 

Attachments

  • image002.jpg
    image002.jpg
    19.6 KB · Views: 197
  • image003.jpg
    image003.jpg
    33 KB · Views: 169
  • image004.jpg
    image004.jpg
    36.5 KB · Views: 151
  • image005.jpg
    image005.jpg
    35.4 KB · Views: 154
  • image006.jpg
    image006.jpg
    40.3 KB · Views: 153
  • image007.jpg
    image007.jpg
    46.9 KB · Views: 149
  • image008.jpg
    image008.jpg
    37.6 KB · Views: 144
  • image010.jpg
    image010.jpg
    45.7 KB · Views: 139
  • image009.jpg
    image009.jpg
    31 KB · Views: 135
  • image011.jpg
    image011.jpg
    28.5 KB · Views: 132
  • image012.jpg
    image012.jpg
    23.3 KB · Views: 135
  • image013.jpg
    image013.jpg
    58 KB · Views: 141
  • image014.jpg
    image014.jpg
    37.6 KB · Views: 160
Thanks kwa ushauri.
Nahisi wachina na watu wote wanaoishi china wanatumia product za china hivyo tutegemee nini? au hizo ni hujuma kwa bidhaa zinazo uzwa nje pekee?
 
Mzizi Mkavu na wewe umeingia kwenye [propaganda, za wamagharibi, hizo ni njama za kuiua china kibiashara duniani, wao wachina wenyewe wanakulaga nini?
 
Huu ni upumbavu na propaganda za kipumbavu na watu wa bongo wanazikumbatia kwa kukosa hekima. take this statistics from me... nilianza kazi wilayani Ngara mwaka 2000 na kulikuwa na pikipiki zisizozidi 30. Sasa hivi baada ya pikipiki za kichina kuja SANLG na TVS zikawa zinauzwa laki 8 karibu kila familia kwa sasa ina pikipiki hizo za bei nafuu. Suzuki na Yamaha zinauzwa milioni 5 mpaka 8 wakati za kichina ni laki8 - 1.5 milioni. Jamani tujitahidi kupambanua maana wachina wanaua viwanda vya wengine hivyo kunavita vya biashara..... Chakula nacho ni biashara!!!!! Tuamuke!!
 
Huu ni upumbavu na propaganda za kipumbavu na watu wa bongo wanazikumbatia kwa kukosa hekima. take this statistics from me... nilianza kazi wilayani Ngara mwaka 2000 na kulikuwa na pikipiki zisizozidi 30. Sasa hivi baada ya pikipiki za kichina kuja SANLG na TVS zikawa zinauzwa laki 8 karibu kila familia kwa sasa ina pikipiki hizo za bei nafuu. Suzuki na Yamaha zinauzwa milioni 5 mpaka 8 wakati za kichina ni laki8 - 1.5 milioni. Jamani tujitahidi kupambanua maana wachina wanaua viwanda vya wengine hivyo kunavita vya biashara..... Chakula nacho ni biashara!!!!! Tuamuke!!
Amkeni, lakini kula vyakula vya Kitanzania. They are safer, fresher, and helthier.
 
Mazingira machafu kweli lakini hali hii hata hapa kwetu ipo, nilitembelea soko la buguruni maeneo ya wanapochinjia kuku, kwa kweli jinsi palivyo pachafu huwezi kutamani kununua kuku hapo.
 
Na kwanini mnunue vyakula vya kigeni? Kuku bongo wameisha? kila siku watu wanakosa market nyie kazi kujishaua na kuku wa supermarket..endeleeni kupigwa za usoni.ebo.
 
Back
Top Bottom