Danda Juju ajiunga na NCCR-Mageuzi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Danda Juju ajiunga na NCCR-Mageuzi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Charuka, Dec 4, 2009.

 1. C

  Charuka Member

  #1
  Dec 4, 2009
  Joined: Oct 20, 2009
  Messages: 56
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Jujuman aliyetimuliwa CHADEMA, sasa naye kakabidhiwa rasmi kadi ya uanachama wa NCCR. Wakati mwenzake kafulila alisema lengo lake katika chama hiki ni kujenga upinzani imara, Jujumani anasema NCCR (kwake yeye) ni tumaini jipya.
  Haya bwana, who's next?
   
 2. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #2
  Dec 4, 2009
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Wamesha fulia hawa hawana jipya waacheni waendelee kutapa tapa mala huku mala kule
   
 3. Original Pastor

  Original Pastor JF-Expert Member

  #3
  Dec 4, 2009
  Joined: Nov 14, 2007
  Messages: 1,256
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  wamefua hawana la kuwadanganya watu hao
   
 4. C

  Charuka Member

  #4
  Dec 4, 2009
  Joined: Oct 20, 2009
  Messages: 56
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Hivi ni kufua au kufulia?
  By the way unajua mtu anaweza akafua/fulia positively au negatively, suppose katika context inayotumika hapa, ni kwamba wamefulia kadi za chadema kwenye kombati, hiyo imekaaje?
   
 5. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #5
  Dec 4, 2009
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 11,372
  Likes Received: 3,136
  Trophy Points: 280
  mfa maji haishi kutapatapa................................waache wahangaike na mwisho wa siku tunawaombea warudi ccm ambako ndiyo baba na mama yao...............
   
 6. nguvumali

  nguvumali JF Bronze Member

  #6
  Dec 4, 2009
  Joined: Sep 3, 2009
  Messages: 4,864
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  Sisimizi huyo.
   
 7. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #7
  Dec 4, 2009
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  waache waende ..they go where they used to be so nothing new..by the way Slaa alisema hao ni sisimizi
   
 8. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #8
  Dec 4, 2009
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,593
  Likes Received: 3,887
  Trophy Points: 280
  Jamani uwezo wetu wa kujadili hili swala ndio umefikia hapa.c'mon lets propose something, haya mambo yana athari sana sana in a whole.

  watu wanadharau sana hivi vyama, i mean vyote vya upinzani! we need to discuss how to solve this problem!
   
 9. N

  Ndusty JF-Expert Member

  #9
  Dec 8, 2009
  Joined: Apr 27, 2009
  Messages: 363
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 45
  Hawa vijana wenye njaa ya pesa na madaraka.wanatafuta njia ya kutokea kwa kupitia migongo ya watu wengine.Kwenye CHADEMA hawakuwa sisiminzi bali viroboto..waende kudanganya wasiokuwa na elimu kwao huko na sio hapa JF.we dont need to waste time kujadili issue zao.
   
 10. ELNIN0

  ELNIN0 JF-Expert Member

  #10
  Dec 8, 2009
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 3,771
  Likes Received: 221
  Trophy Points: 160
  Huko naona kutamfaa
   
 11. K

  Kwayus Member

  #11
  Dec 8, 2009
  Joined: Feb 18, 2008
  Messages: 44
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Hizi Ni Mbinu za kuudhoofisha UPINZANI Je NCCR MAGEUZI Wanasoma alama za Nyakati Kweli au wanawapokea tu,ili Mradi wamewapokea????
   
 12. Lyangalo

  Lyangalo JF-Expert Member

  #12
  Dec 8, 2009
  Joined: Sep 10, 2009
  Messages: 681
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 45
  Hao mabwana ni wajasiliamali na si wanasiasa. Kama walikuwa hawatafuti pesa walipovuliwa madaraka mbona ndo waliona chadema ni wezi? Hawafai ni kuwaacha wahangaike na ubunge wanaoutamani wataukosa hakika na hapo sijui itakuwaje.
   
 13. D

  Deo Meck Mbagi JF-Expert Member

  #13
  Jan 19, 2017
  Joined: Apr 19, 2015
  Messages: 259
  Likes Received: 250
  Trophy Points: 80
  Bado unaamini haya maneno yako?
   
Loading...