Damu yangu watoto wa Dada zangu tu nyie wengine sina uhakika.

angelita

JF-Expert Member
Jun 13, 2013
3,017
2,422
Kweli ukubwa jalala natamani nirudishe siku nyuma, huku mtoto yuko njiani, harusi michango haisomi huku ndugu wananivuruga basi majanga ya Snura.

Leo ndo nimejua kwanini Baba yangu alikuwaga anaongea ayo maneno, wanawake siye sio watu wazuri hata kidogo.

Dada yangu mtoto wa baba mdogo ana mimba kubwa tu (hajaolewa anasubiri yangu ipite). Leo nimeenda kufata mchango nikaingia kwenye kabati lake nipate magauni makubwa kadi hizo 2.

Nikabaki natoa macho maswali kibao , nikaweka rohoni na mimba yake kisirani asininyime mchango.

Namjua shemeji yangu mmoja ndo nilijua muhusika maana ndiye aliyejitambulisha, kumbe wala mpya kabisa ndo muhusika.
 
Kwa kweli sijaelewa.
Mkuu anamaanisha ana dada yake mtoto wa baba mdogo wake ambae ni mjamzito ila bado hajaolewa, sabbu ya yeye kutoolewa huyo dada wa mtoa mada(ambae ni mjamzito) ni kwamba anasubiri ndoa ya dada yake ipite kwanza, dada wa huyo mama kijacho ndio mtoa mada.

sasa mtoa mada leo kaenda kwa huyo ndugu yake mama kijacho akaingia kwenye kabati lake la nguo ili atafte gauni la kuvaa akashangaa kukuta kadi mbili za kliniki za mimba ya huyo mamam kijacho, kwa maana kwamba hiiyo mimba ina baba wawili, kila baba anaonyeshwa kadi yake.

Nadhani mimi nimeelewa hivyo.
 
Hata mm ndio nimeelewa hivyo
 
Sie kwetu mtoto wa dada yako ndio ndugu yako nikimaanisha mtoto anathaminika ujombani ambako ndiko wanauhakika kwamba mtoto nidam yao
 
Mkuu anamaanisha ana dada yake mtoto wa baba mdogo wake ambae ni mjamzito ila bado hajaolewa, sabbu ya yeye kutoolewa huyo dada wa mtoa mada(ambae ni mjamzito) ni kwamba anasubiri ndoa ya dada yake ipite kwanza, dada wa huyo mama kijacho ndio mtoa mada.

sasa mtoa mada leo kaenda kwa huyo ndugu yake mama kijacho akaingia kwenye kabati lake la nguo ili atafte gauni la kuvaa akashangaa kukuta kadi mbili za kliniki za mimba ya huyo mamam kijacho, kwa maana kwamba hiiyo mimba ina baba wawili, kila baba anaonyeshwa kadi yake.

Nadhani mimi nimeelewa hivyo.

Yaani usingeelezea, nisingewahi kuelewa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom