Damu yangu watoto wa Dada zangu tu nyie wengine sina uhakika.

Kweli ukubwa jalala natamani nirudishe siku nyuma, huku mtoto yuko njiani, harusi michango haisomi huku ndugu wananivuruga basi majanga ya Snura.

Leo ndo nimejua kwanini Baba yangu alikuwaga anaongea ayo maneno, wanawake siye sio watu wazuri hata kidogo.

Dada yangu mtoto wa baba mdogo ana mimba kubwa tu (hajaolewa anasubiri yangu ipite). Leo nimeenda kufata mchango nikaingia kwenye kabati lake nipate magauni makubwa kadi hizo 2.

Nikabaki natoa macho maswali kibao , nikaweka rohoni na mimba yake kisirani asininyime mchango.

Namjua shemeji yangu mmoja ndo nilijua muhusika maana ndiye aliyejitambulisha, kumbe wala mpya kabisa ndo muhusika.
Hatari sana
Nyie ndo mnasutwaga looooh mambo hayakuusu wayavaria kibwaya!.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom