Damu mimba wiki ya 11

Uombe mungu minyege 😎😎 isikusumbue maana mimba nyingine minyege debe kila saa utalitafuta dudu na huwa wanadai inasaidia kujifungua kirahisi.

Akuu sitaki hadi nijifungue.
 
Uombe mungu minyege isikusumbue maana mimba nyingine minyege debe kila saa utalitafuta dudu na huwa wanadai inasaidia kujifungua kirahisi.
Zishindwe kabisa, nitazikemea.
 
  • Kicheko
Reactions: BAK
Poleni sana hakuna mimba tena hapo na vizuri kuwahi hospitali.
Hapana BAK, unamtisha mtoa mada, kiumbe kinaweza kuwa salama sema sio dalili nzuri kwa mimba changa na wasipochukua tahadhari mapema itakula kwao
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Tuombe Mungu iwe hivyo lakini Kama damu iliendelea kutoka continously tangu wamalize na ilikuwa ni kwa masaa mengi uwezekano wa mimba kuwepo ni mdogo sana labda kama ilikuwa inaacha halafu inatoka tena.

Yeah lets cross our fingers, inabidi alete mrejesho hapa
 
  • Nzuri
Reactions: BAK

Similar Discussions

Back
Top Bottom