damu mapandemapande

korino

JF-Expert Member
Dec 6, 2011
846
500
Habar zenu wana jf! Nna rafk angu anasumbuliwa na tatizo lakubld mapande ya damu km maini awapo kwenye cku zake! Na damu inakuwa nyeusi yenye utelezi mzito...haunwi na tumbo wala kitu chochote..ila inamtia waswasi je hali yakawaida au ana tatizo...ana umri WA miaka 30
 
shansarie

JF-Expert Member
May 25, 2013
5,694
1,500
Sina uhakika kama ni tatizi ilinitokeaga zamani nikiwa nasoma na niliona ni kawaida ikaisha yenyewe hata sijui iliishaje
 
MissM4C

JF-Expert Member
Aug 31, 2012
1,341
2,000
Habar zenu wana jf! Nna rafk angu anasumbuliwa na tatizo lakubld mapande ya damu km maini awapo kwenye cku zake! Na damu inakuwa nyeusi yenye utelezi mzito...haunwi na tumbo wala kitu chochote..ila inamtia waswasi je hali yakawaida au ana tatizo...ana umri WA miaka 30

hilo ni tatizo zito sana!!! uliza kama idadi ya pad anazotumia cku hz zmeongeza???

anaweza ikawa ni Uvimbe kwenye mfuko wa uzazi, au Ana tatizo la hormoni, au menses zlizopitiliza so amuone daktar haraka sana!!!!
 
nkululeko

JF-Expert Member
Jul 24, 2013
275
0
hilo ni tatizo zito sana!!! uliza kama idadi ya pad anazotumia cku hz zmeongeza???

anaweza ikawa ni Uvimbe kwenye mfuko wa uzazi, au Ana tatizo la hormoni, au menses zlizopitiliza so amuone daktar haraka sana!!!!

Ni tatizo aende akamuone gyno..mimi ishawahi kunitokea.matokeo yake ikawa overbleed mpaka nikikaa inashuka..nikaenda hospital nikatibiwa..atafute gyno mzuri...mimi nawajua wa aghakhan kuna shafiq na kuguta wazuri sana..na ndio walinisaidia lakini unaweza kumwambia aende muhimbili wako magyno wengi pia..good luck
 
korino

JF-Expert Member
Dec 6, 2011
846
500
Ni tatizo aende akamuone gyno..mimi ishawahi kunitokea.matokeo yake ikawa overbleed mpaka nikikaa inashuka..nikaenda hospital nikatibiwa..atafute gyno mzuri...mimi nawajua wa aghakhan kuna shafiq na kuguta wazuri sana..na ndio walinisaidia lakini unaweza kumwambia aende muhimbili wako magyno wengi pia..good luck

du asante..tuko mkoan ntamwambia lkn
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom