Elections 2010 Damu isimwagike

Criticism

Member
Nov 3, 2010
40
0
Jamani CHADEMA tunaomba msimwage damu kubalini matokeo kwani asiyekubali kushindwa si mshindani.
 
jamani chadema tunaomba msimwage damu kubalini matokeo kwani asiyekubali kushindwa si mshindani.

tunajua mlihusika kuiba kura mpo wengi kwa kujiunga katika kipindi hiki ili kutusiii tubariki wizi wa kura mlioufanya. Tazama hata join date zenu ni baada ya kutuibia kura. Shame on you!!!!!!

Kama damu ninyi ndio mnataka kumwaga damu kwa kuiba kura kwa nia ya kung'ang'ania ikulu at any cost.
 
yes sir, infact this is simple logic, when violance starts there will be no chadema, ccm and rest of the parties. there will be killings of innocents and a nation. My thinking is 'we cut to put and not to measure'. thanks
 
tunajua mlihusika kuiba kura mpo wengi kwa kujiunga katika kipindi hiki ili kutusiii tubariki wizi wa kura mlioufanya. Tazama hata join date zenu ni baada ya kutuibia kura. Shame on you!!!!!!

Kama damu ninyi ndio mnataka kumwaga damu kwa kuiba kura kwa nia ya kung'ang'ania ikulu at any cost.

Kwanini ufikirie unaibiwa kila siku? mawakala wenu wanafanya nini? ndio maana watanzania hatuendelei kwa kuamini uongo na uzushi.
 
Damu haimwagwi na wapinzani wanaodai haki, bali itawamwagwa na greedy people who want to be in power at all costs; wewe ni accomplice wao? Think of millions of Tanzanians who are languishing in abject poverty? Isnt that murder? Think of millions who are dying due to unnecessary and preventable/treatable ailments? Isn't that loss of life? Get real and dont just utter words without using your heart-think of your fellow Tanzanians instead of staying in your comfort zone-remember that too will come to an end!!!!
 
kwanini unasema kuwa chadema watamwaga damu?
So far waliomwaga damu kwenye uchaguzi huu ni chama chako cha mafisadi ccm. Umefikiria hilo?
 
Watu waliojoin apa baada ya matokeo ata ajenda zao zimekaa kama matokeo ya NEC
 
Damu haimwagwi na wapinzani wanaodai haki, bali itawamwagwa na greedy people who want to be in power at all costs; wewe ni accomplice wao? Think of millions of Tanzanians who are languishing in abject poverty? Isnt that murder? Think of millions who are dying due to unnecessary and preventable/treatable ailments? Isn't that loss of life? Get real and dont just utter words without using your heart-think of your fellow Tanzanians instead of staying in your comfort zone-remember that too will come to an end!!!!

Thinks twice,
Slaa want to bring violence because he has to do like what Shujaa Seif Sharif did, he won but he decided not to compete which may cause killlings like previous years. Open your eye Bro/SIst
 
Kajifunze kwanza kuandika kingereza kizuri mr/s Craper
 
sijaelewa guys, kwani hapa tunachangia kujielimisha na jamii kwa ujumla juu ya haki na misingi ya maendeleo? ama tunahakiki joining dates, curious! thanks
 
Jamani CHADEMA tunaomba msimwage damu kubalini matokeo kwani asiyekubali kushindwa si mshindani.

Tuanataka imwagike ili tuheshimiane kama Angola, Rwanda, S Sudan, Palestina, Iraq..list goes on
 
wanajeshi wanafanya mazoezi na ndege vita zao kujiandaa ktk kumuapisha Bwana mkubwa baada ya kupigiwa kura na utashi wa waTZ wenyewe wangazi za juu, za kati na mahoehae na Mhe Chenge naye kachukua fomu kwa ajili ya kinyanganyiro cha uspika na nahisi atashinda, Tusubiri kwani picha ndo kwanza inaanza!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom