Damon Dash's Wifey

Game Theory

Platinum Member
Sep 5, 2006
8,545
835
sasa mimi nataka mke kama huyu hata kama akishazaa bado ni portable na awe na rangi kama anazopenda ustadhi wetu kule east midlands na vitongoji vyak


82539_Rachel_Roy__Various_Events_CC.jpg


82071_Rachel_Roy__Various_Events_CC.jpg


82258_Rachel_Roy__Various_Events_CC.jpg


82259_Rachel_Roy__Various_Events_CC.jpg


82323_Rachel_Roy__Various_Events_CC.jpg


82324_Rachel_Roy__Various_Events_CC.jpg


82281_Rachel_Roy__Various_Events_CC.jpg


82218_Rachel_Roy__Various_Events_CC.jpg


81977_Rachel_Roy__Various_Events_CC.jpg


82033_Rachel_Roy__Various_Events_CC.jpg


82168_Rachel_Roy__Various_Events_CC.jpg


82233_Rachel_Roy__Various_Events_CC.jpg


82593_Rachel_Roy__Various_Events_CC.jpg


82355_Rachel_Roy__Various_Events_CC.jpg
 
Kazuri kweli BM lakini kanaonekana kama kachimba dhahabu (gold digger).Hivi Damon angekua hana kitu kangekua naye? Unadhani kama u mwenzangu na miye una chance hapo? utakula kunawa au ukamalizie hasira zako bafuni!!Keep on dreaming!!
 
Kazuri kweli BM lakini kanaonekana kama kachimba dhahabu (gold digger).Hivi Damon angekua hana kitu kangekua naye? Unadhani kama u mwenzangu na miye una chance hapo? utakula kunawa au ukamalizie hasira zako bafuni!!Keep on dreaming!!

Ebwana huyo mwanamke ni MIXED RACE kati ya MDACHI na MDOSI. Ni graduate, na aliintern wakati yuko ROCAWEAR enzi hizo DASH na JAY walikuwa dam dam

Sijui lakini nahisi kwa sasa huyu sister atakuwa ana commanda pesa nyingi kuliko DAME lakini kama mnavyomjua DAME jamaa ni business savy ile kinoma so you never know sitoshangaa kama dame atakuwa kanunua shares toka kwenye kampuni ya huyu mkewe

hebu soma hizi news clips:

wwd_11.13.07.jpg


oprah.jpg


newsweek_10.15.07.jpg


nybeacon.jpg


Avenue_3.07.jpg


USA-Weekend-Article.jpg
 
sasa porno ikowapi mpaka ikahamishiwa kwenye mambo ya wakubwa? sasa kama si kununua ugomvi ni nini huo?
 
sasa porno ikowapi mpaka ikahamishiwa kwenye mambo ya wakubwa? sasa kama si kununua ugomvi ni nini huo?

Aaah wewe... Ssshhhhhhh... Mada ishakuja kunakohitajika. Muhimu ni kuanzisha Celebrity Forum ili mambo kama haya yawe yanajadiliwa kwenye forum hiyo japo ni sehemu mojawapo ya burudani (ya macho eh?)

Invisible
 
lakini unasemaje kuhusu huyo sister?


mie napenda wanawake dizaidi hizi

kwanza awe na PESA ni muhimu sana kwangu hilo

pili awe mrefu kuliko mimi na kwa kweli Rachel ni Tall...sababu naenda kwenda nao kwenye candle light dinnerrestaurants ili ni just show off

Tatu awe na damu kama ya kiarabu au kilatina kwa sababu gharama ya kutoa pesa za mikorogo nitakuwa sina


Nnne awe na nywe singa...hivyop gharama za kununua zile nyewe feki nitakuwa sina


Tano ajue at least lugha 4 ...hiyo ni mihumu sana kwangu na it doesnt matter hata kama mie najua moja

Sita awe at least M.A if not doctorate, na akizungumza lazima aonekane ana IQ nyingi, na ajue kuwa mimi japo ni masikini i have expensive and good taste of things such as short breaks,sailing na of course art

saba, awe anasoma the Times of London if not NY Times on WEEKEDAYS lakini awe tayari kusoma Newsweek au Economist over the weekend

Nane awe anafanya mazoezi...it doesnt amtter kama mimi nina kitambu


Tisa, ni lazima ajue mamabo ya ice skating, awe ana enjoy bike rides na bila kusahau awe cultured

Kumi, please refer to number 1

halafu mnashangaa naitwa Brazameni! ma sister wetu wa kibongo unfortunately huwa wanashindwa kukeep up with my demands!

I hope sijafungua Pandora's box
 
Back
Top Bottom