Dalili zinazoonesha umepungukiwa nguvu za kiume

Ethan Cruz

JF-Expert Member
Apr 29, 2021
231
331
silhouettes_masks_anonymous_215355_1920x1080.jpg

Ukienda Safari Moja Mwili unachoka alafu unahisi usingizi

Sehemu za Siri Zinasinyaa taratibu baada ya goli moja.

Mwili unahisi ganzi pamoja na sehemu za siri.

Hamu inakata ghafla Mara baada ya kutoa Manii, ule uchangamfu unapotea kabisa.

Nyeti zinasimama Vizuri Lakini ukitaka kuingiza kwa mwanamke Zinasinyaa .Hapo Wengi huhisi kwamba Wamerogwa Lakini ukweli Ni Kwamba hawajarogwa ila hali hii inasababishwa na Kujichua Yani punyeto au Kutazama video za ngono.(porn addiction)

Kupoteza hamu ya tendo la ndoa.

Kushindwa kurudia Mara ya Pili - unakuta ukishatoa Wazungu Mara Moja, Basi mashine inakata Moto haisimami Tena hata ufanyeje inazidi kulala.

Mashine kulala Ndani ya Uke ,unakuta upo katika ya Game ,mzigo unalala ghafla na kulegea Ndani kwa Ndani.

Sasa hayo Matatizo hayampati Mwanaume kutoka Mbinguni ,Bali Yanavisababishi vyake .
Ukiona Hali Kama hiyo inakupata Kuna kitu kimesababisha.

Sababu yawezekani Ni;
Ulijichua, Umpenzi wa video za ngono, Ulaji wako ni mbovu-Unakuta ulikuwa Vizuri mwanzoni Lakini baadae unakumbwa na upungufu wa nguvu za kiume.Hapa wengi wana vitambi,uzito mkubwa nk. Wengi wanakula vyakula ambavyo havina virutubisho vya kuupa Mwili Nguvu.Ni vyakula ambavyo Ni Vitamu Mdomoni tu lakini havisaidii chochote Mwilini Bali kuuboa na kuuchakaza pole pole .

Mwili wako Ni zao la kile unachokula.
Usidharau kula ukawa unajilia vyakula vibaya ,matokeo yake utaugua.
Mwisho wa siku ukicheza ngoma ya Wakubwa Hisia zitakuwa Ni za kutafuta na tochi
 
Back
Top Bottom