Dalili zinaonyesha hakuna msaliti wa upinzani atakayepenya kwenye kura za maoni ndani ya CCM

Zanzibar-ASP

JF-Expert Member
Nov 28, 2013
10,114
35,120
Kuna kila dalili kuwa hakuna mwanasiasa kutoka upinzani ambaye alihamia CCM ili kuunga mkono juhudi (maarufu kama wasaliti) mwenye nafasi ya kupenya katika kinyang'anyiro kinachoendelea sasa cha kura za maoni ndani ya CCM kwenye ngazi yoyote ile, iwe ubunge, udiwani au viti maalum. Wasaliti wote huenda wataangukia pua asubuhi na mapema.

Namna pekee ya wasaliti hao kuvuka hicho kikwazo ni kusubiri huruma za mwenyekiti za kuwabeba mezani na kuwateua kibabe, jambo ambalo linaonekana kuwa na nafasi finyu sana katika mazingira yaliyopo sasa.
 
Wataangukia pua lakini pia wapo watakaopitishwa ambao watakutana na wananchi...
Natathmini nguvu ya dola itakayotumika kuwashindisha waheshimiwa... Jee yule mzee atakuwa bado ana nguvu za kunasa wagombea vibao?
 
Back
Top Bottom