Dalili za Ushindi wa CCM Kinondoni zanukia!

Wakati umasikini ukiendelea kwa wananchi, maendeleo yaliyoletwa na awamu ya tano ni bomoa bomoa wa nyumba za wananchi, ujenzi wa Chato International Airpot na ujenzi wa Chato Referral Hospital
 
Wakati umasikini ukiendelea kwa wananchi, maendeleo yaliyoletwa na awamu ya tano ni bomoa bomoa wa nyumba za wananchi, ujenzi wa Chato International Airpot na ujenzi wa Chato Referral Hospital
Hukumbuki Songwe International Airport na lami pamoja na umeme kwenye migomba ya Rombo, Marangu, Mwanga, Same, Old Moshi na Kilimanjaro nzima?
 
Kulingana na muonekano wa kampeni za Kinondoni, CCM inaonekana kushinda nafasi ya ubunge kwa kura nyingi. Hii ni kutokana na jinsi hiki chama kilivyojipanga kwa ajili ya kampeni ambazo zinahudhuriwa na vigogo wa chama na serikali. Pia, kampeni hizi zinafanywa na wanachama karibia wote kwa ustarabu mkubwa.
Sema dalili za wizi wewe
 
Vigogo wa chama na serikali hao wanaopiga magoti kuomba kura za huruma ndiyo wapiga kura wa kinondoni??
 
Hhahaha yaani kuna watu hawapendi amani kabisa kama huyu hapo unawachokoza watu wakupe mipovu mingi
 
kwa wizi tuuuuu watashinda kwa kishindo.vinginevyo ni ngamia kupenya kwenye tundu la sindano !!!
 
Back
Top Bottom