Dalili za ujauzito kuwa kwa mwanaume badala ya mwanamke; kiafya ikoje?

Kabla sijahisi chochote ilikuwa ananiangalia sana namuuliza nini wewe? Anajibu una mimba namjibu utasubiri sana, sasa ikawa mvivu sana na kula hawezi kikiletwa chakula anaanza kulalamika anachosema hakieleweki, ananisogezea na chake nile nakula halafu nilikuwa mroho sana sishibi,, kumbe nina mimba kweli siku moja kaja na mbilimbi kumbe kaomba huko alikuta zimeanikwa nilipopeleka mkono kwenye chupa jamaa nusu alie hataki na mbilimbi zake, namshukuru aliyeniumba sikusumbuka hata kidogo kwa lolote lile hadi najifungua kafanana naye sana nashukuru umbo na nywele ni kwangu Hii imekaa vizuri anakuwa na huruma sana kwa mwenza wake
Japo umeandika kiswahili ila nimesoma mara mbili sijaelewa
 
Tafiti nyingi zinaonyesha mabadiliko ya vichocheo au hormones kwa mwanaume mwenye mapenzi ya dhati kwa mwenza wake mara baada ya taarifa za mimba kufahamika.Wengi hao ni wale ambao hupenda kufanya mambo kwa pamoja kiasi cha hata kutaka kujua experience ya mimba kwa mwenza wake na mostly huwa ni ile mimba ya kwanza.
 
Hii kwa faza angu mm huwa yanamtokea majanga almost kwa kila mama anaposhika mimba tena mikasa mikubwa mm ni mkubwa sasa nimeshuhudia wadogo wangu watatu na kila mama akishika mimba bas faza hukumbwa na mkasa
 
Nilishaona na imetokea kwa watu wangu wa karibu. Mmewe yuko Mtwara mkewe yuko Dar. Mwanaume anakila dalili za ujauzito wkt mwanamke anadunda tuu wkt mwanaume anachagua mpk chakula
 
Back
Top Bottom