Dalili za ugonjwa gani huu...naombeni maoni yenu.!!

niggapaul

Member
Sep 29, 2017
49
43
Habari zenu wakuu..
Mm ni mgeni humu kwenye jukwaa la jf...
Napenda kuuliza kuwa takribani mwezi umepita kuna maumivu nayahisi kitovun mwangu kwa mbali nikikigusa.
.
.
.
Maoni yenu wakuu ni muhim hata ushauri waweza changia.
.
Nawasilisha..
 
Wahi hospitali Mkuu usicheze kabisa na afya yako. Karibu JamiiForums.
 
Habari zenu wakuu..
Mm ni mgeni humu kwenye jukwaa la jf...
Napenda kuuliza kuwa takribani mwezi umepita kuna maumivu nayahisi kitovun mwangu kwa mbali nikikigusa.
.
.
.
Maoni yenu wakuu ni muhim hata ushauri waweza changia.
.
Nawasilisha..
Pole sana mkuu,
Vipi hicho kitovu chako ni cha aina gani?
Chakuingia ndani au chakutokeza kwa nje?
Embu nijibu hayo maswali nijue cha kukushauri.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom