Mkuu kwema?Wahi hospitali Mkuu usicheze kabisa na afya yako. Karibu JamiiForums.
Teheee, we bibie kiboko aseeeNenda hospital, hapa utaishia kuombwa picha ya kitovu....
PoleHapana mkuu nakuaga makini kuhusu papuchi asee
Niko poa boss, namshukuru Mola piaKwema kabisa Mkuu namshukuru Mungu. Vipi wewe Mkuu?
Ila we wa ajabu kweli,unaumwa unauliza huku? bora ingekuwa ni tatizo la nyege
Pole sana mkuu,Habari zenu wakuu..
Mm ni mgeni humu kwenye jukwaa la jf...
Napenda kuuliza kuwa takribani mwezi umepita kuna maumivu nayahisi kitovun mwangu kwa mbali nikikigusa.
.
.
.
Maoni yenu wakuu ni muhim hata ushauri waweza changia.
.
Nawasilisha..