Dalili za mwili mmoja ni zipi kwa wale waliooana?

Papa Mopao

JF-Expert Member
Oct 7, 2009
4,098
2,459
Habari zenu Wanajamii wenzangu?

Nimekuja na mada hapa kuhusu dalili za mwili mmoja kwa wale waliooana ni zipi hizo dalili?
 
Kuwa mwili mmoja kulimaanisha watu wakishakutana kimwili wameunganisha miili yao! Ilitakiwa kila mtu awe na mume na mke wake..... siku hizi ni chain ya miili.... maana nzima imepotea
 
Mnapozaa au mnapofanya/jaribu tendo la kupata mtoto. Through that you are connected.
Ndio maana jamii inakuasa uwe connected na wachache au mmoja. Failure to do that kiroho na kimwili unakuwa umeungana na wake/ waume 20 ambao kimsingi hauko nao. Baraka na riziki zako duniani zikija zinakuwa divided kwa wengi hao unabaki na kidodo, na mabalaa pia unagawiwa hivyo hivyo.
 
Najaribu kutafakari "unified" as a subject matter. Ndio azma kuu ya kuu ya kuwa mwili mmoja.
 
Mi mwenyewe sijui walimaanisha nini hawa jamaa ngoja tuskize wataalam wa mambo haya watasema nini
 
ufanyapo tendo tu unasema nasikia raha km nipo mbinguni vioe basi ujue nyinyi ndio mwili mmoja mlioshiriki mpaka mkafikishana huko

so km utafanya na wengi kazi kwako ndo tunasikiaga flan ana magundu au hana maendeleo pesa zake hajui ziendako ila ana shamba la hela blaaa
 
Mnapozaa au mnapofanya/jaribu tendo la kupata mtoto. Through that you are connected.
Ndio maana jamii inakuasa uwe connected na wachache au mmoja. Failure to do that kiroho na kimwili unakuwa umeungana na wake/ waume 20 ambao kimsingi hauko nao. Baraka na riziki zako duniani zikija zinakuwa divided kwa wengi hao unabaki na kidodo, na mabalaa pia unagawiwa hivyo hivyo.
hii ni kwa mujibu wa nini mkuu.tuelimishane samahani
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom