Dalili za mwanamke wako kuwa “kicheche” kwa kuangalia matumizi yake ya simu

Walioko badoo ndo siwaelewi kabisa,sijui wanatafuta ndoa au mgegedo tu ,yani sielewi huko,na wengi ni wafanyakazi wa sehemu mbali mbali,naona badoo ni njia rahisi ya kutongozona kuliko kukutana sehem zingine,ila walio wengi wamejalibu kama sehemu ya kubadili wanaume na wanawake,leo ana huyu kesho kwa yule,watu wapo ki ngono tu,wanawake wapo open sana,hadi mashoga nayo yanawashwa kutongoza wanaume,Hii dunia inakotupeleka sizan kama tutafika salama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nikumkabidhi yesu tu maisha yako hiyo ndo ponapona yako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sheria ya wanawake.

Atakagua simu yako...wewe shika yake kwa bahati mbaya atahemea juju na kamwe hutakaa uisogelee. Hii ni kwa wale ambao hawajaolewa.

Wakishakaa kwa ndoa wanarelux na wanawake wengi wametulia kwa ndoa.
 
Madem wote wana izo sifa tafuteni wanawake
Alafu hakuna msichana malaya kama hana ndoa..bado wanasearch wewe kama unaeleweka wala hutasalitiwa.
KUNYA ANYE KUKU AKINYA BATA KAHARISHA...yaan kama ww hujatulia ujue tuu akija mwenzio ntamkubali akikuzidi kete nakupotezea akiwa mbovu zaid yako nampotezea nabak naww uku kusearch kunaendelea.
 
Back
Top Bottom