Dalili za mwanamke wako kuwa “kicheche” kwa kuangalia matumizi yake ya simu

Thumbs up mkuu, you have done a well researched work, and its true, those signs yoiu have mentioned are what we refer as TEL TALE SINGS, be careful if your lady has those habits, you are sharing her just the same way we share a dala dala seat
 
100%
 
Siku ukiwa na mwanamke mfanyabiashara kubwa kubwa ya mtaji wa Milion 10 utabadili baadhi ya hoja hapo juu.

Hoja nyingi zimelalia kwa wanawake wasio na hili wala lile. Wanawake wasio na kazi.

Mwanamke mfanyabiashara simu ndio kila kitu.
 
pole Sana bro, huko kwenye biashara ndio anapigwa miti sasa na wafanyabishara wa level zake
 
Back
Top Bottom