feysher
JF-Expert Member
- Sep 6, 2016
- 2,656
- 2,762
Kama havui chupi safi. Hicho ndicho sahihi. Ila mada kwa jinsi ilivyo ni watu wanaochapana
Sawa
Kama havui chupi safi. Hicho ndicho sahihi. Ila mada kwa jinsi ilivyo ni watu wanaochapana
HahahahaKwahiyo wanawake wote wanaotuita MKUU hapa ndani tunawachapa??
Nikumkabidhi yesu tu maisha yako hiyo ndo ponapona yakoWalioko badoo ndo siwaelewi kabisa,sijui wanatafuta ndoa au mgegedo tu ,yani sielewi huko,na wengi ni wafanyakazi wa sehemu mbali mbali,naona badoo ni njia rahisi ya kutongozona kuliko kukutana sehem zingine,ila walio wengi wamejalibu kama sehemu ya kubadili wanaume na wanawake,leo ana huyu kesho kwa yule,watu wapo ki ngono tu,wanawake wapo open sana,hadi mashoga nayo yanawashwa kutongoza wanaume,Hii dunia inakotupeleka sizan kama tutafika salama
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa Mkuu
Na mie binadamu atihivi umewahi kucheat kwenye ndoa au kwenye serious relationship?