Dalili za mwanamke asiyekupenda kwa dhati

Sasa huyu mbona ni kama mwanamke mwenye matatizo ya kiakili!

Maana kwa mwanamke ambaye hakuhitaji, atakwambia ukweli wa mambo ili asipoteze muda wake na wako pia. Ila kama anafanya yote haya ila bado anakuvulia nguo na mnagegedana then kuna kuna shida kwenye gearbox ya kichwa chake, hayupo sawa sawa kisaikolojia.
Kama hela zinavuja tu atasemaje hakutaki
 
Unapokuwa kwenye mahusiano ya kimapenzi mwanamke ambaye hakupendi kwa dhati basi utamgundua kwa dalili zifuatazo;

  1. Hataki kuambata na wewe katika matembezi na ikitokea anakuwa mtu wa masharti mara akuambie tangulia nakuja au pengine kutembea nawe kwa umbali.
  2. Anapata kigugumizi kukutambulisha kwa rafiki zake na ndugu na inapotokea amebanwa hafikishi ujumbe kwa kiwango timilifu.
  3. Haoneshi kubana matumizi kwa ajili ya maendeleao, kwake ni kufuja mali na anapokosa kupewa pesa ni mwepesi kulalamika na wakati mwingine kununa kabisa.
  4. Anaahilisha mara kwa mara kukutana na wewe tena bila kukueleza sababu za msingi Au kukutungia uongo wa dhahili na kuusisitiza bila kuona aibu.
  5. Anapokuwa akitoa maelezo ya mwanaume amtakaye sifa zake zinakuwa hayalingani na wewe. Anaweza kukuambia napenda kuishi na mwanaume mwenye gari au mwenye mwili mkubwa, sifa ambazo wewe huna!
  6. Hacheki kwa furaha hata kama ukimchekesha haoneshi furaha ya moyoni. Tena mara nyingine anakuwa mkimya na mshiwishi mkubwa wa kuachana kutoka kwenye matembezi yenu ya jioni. “Aaah, mi nimechoka narudi nyumbani”
  7. Anajaribu kukuunganisha na wanawake wengine na haoni vibaya anaposikia unamfukuzia mwingine badala yake anakutia moyo wa kuendelea na usaliti wako. Hana wivu kabisa.
  8. Hajuti anapokukosea, mwepesi wa kujitenga, kutokuzungumza nawe na mwingi wa kukusukumia makosa hata kama yeye ndiye aliyekukosea.
  9. Msambazaji wa habari za udhaifu wako na mtu asiyekusifia mbele za wenzake. Si balozi mwema kwa familia yake, haishi kukuponda mbele ya wazazi na ndugu zake.
  10. Mwepesi wa kupokea na si wa kutoa mmiliki wa mali zako na mkumbatiaji wa mali zake pia. Msiri wa mipango yake na mtu anayependa kujua zaidi ya kwako kuliko wewe kujua yake.
Cha msingi ni mbususu tu na kutokunipiga mizinga kila saa!

Hapo kukiwa na maelewano huko pengineko wala sio ishu mradi nikiitaka ananipatia bila kero wala mashauzi! Maisha yataendelea!
 
Sio kweli...nimeshaelewa baada ya kuendelea kusoma comment zenu
Alafu haya matatizo ya kujikojolea mara nyingi huwakuta wanawake..huyu financial services ana mdogo wake yupo high school ndy ana Hilo tatizo Kwa mujibu wa maelezo yake..so mtafutie dawa maana yeye anambwela Tu Hadi Leo hajachukua hatua yoyote,kuna mtu kajitokeza Ampe dawa lkn Hadi Leo mwezi wa pili Hadi namkumbusha alafu anasema alisahau
 
Kuna nakala takriban 100,000 nilizosoma zilizoelezea namna ya kumjua mwanamke anayekupenda. Na kila nayosoma nikifika mwisho inasema kwa maelezo zaidi tafuta kitabu fulani uelewe zaidi

Nimesoma vitabu vya wanafalsafa wengi na historia zao, wapo ambao walikufa katikati ya research ikiwa bado haijakamilika wakiendelea kutafuta majibu ya kumjua mwanamke

Yupo mwanafalsama mmoja alikua na hoja nzito sana ambayo ilionekana kupigiwa kura nyingi za ndio. Huyo ndo mwanafalsafa aliyesema ili mwanamke akupende unatakiwa umiliki pesa

Lakini tangu billgate na jef bozess ndoa zao ziparanguke imebidi aingie chaka tena kufanya research upya
Wanawake wenyewe hawajijui sisi tutawajua?
 
Back
Top Bottom