Dalili za mtu anayekaribia kufa ambaye sie mgonjwa

Kifo ni wakati roho itakapojitenga na mwili . Kwa kawaida mwili unapozeeka na kufika mwisho ,roho huondoka ,hatujui inaenda wapi . Kufa kabla ya kuzeeka ni mambo ya ulimwengu wa roho . Dalili ulizosema ni ulimwengu wa roho (misukule )

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1. Kuonea watu aibu

2.Haangalii watu machoni

3.Akitembea huangalia chini

4.Wasiwasi usio na sababu

5.Hofu

6.Mpweke wa nafsi muda wote

7.Mabadiliko ya ghafla ya tabia. (Aweza kuwa mkali au mpole)

8.Hupenda kukamilisha Jambo alifanyalo haachi kiporo Mara nyingi wanahisi Kuna Jambo kubwa litamtokea muda si mrefu hivyo ni kama wanajiandaa.

Ukiona dalili hizi kwa binadamu ambae haumwi kabisa ujue niagieni inagonga hodi.

Mshana Jr upooooo?
Yani kwa ufupi,Kama hatutaki kufa basi,Tuangalie watu machoni,Tusione aibu,Tusiangalie chini,Tusiwe a wasiwasi,tusiwe na hofu,Tusiwe wapweke,Tusibadilike ghafla,Tusikamilishe mambo,Na watu ambao wanasia kama hizi wataishi milele.Amina
 
1. Kuonea watu aibu

2.Haangalii watu machoni

3.Akitembea huangalia chini

4.Wasiwasi usio na sababu

5.Hofu

6.Mpweke wa nafsi muda wote

7.Mabadiliko ya ghafla ya tabia. (Aweza kuwa mkali au mpole)

8.Hupenda kukamilisha Jambo alifanyalo haachi kiporo Mara nyingi wanahisi Kuna Jambo kubwa litamtokea muda si mrefu hivyo ni kama wanajiandaa.

Ukiona dalili hizi kwa binadamu ambae haumwi kabisa ujue niagieni inagonga hodi.

Mshana Jr upooooo?
Tunashukuru kwa maoni ya uzi wako.

Kweli wewe ni Pimbi wa Mpitimbi wa kuleee kwa akina Peramiho.
 
wale woote wanaopambana kukamilisha kazi zao kumbe wapo katika mchakato wa kuondoka?
 
Bro ulikufa lin asee??
1. Kuonea watu aibu

2.Haangalii watu machoni

3.Akitembea huangalia chini

4.Wasiwasi usio na sababu

5.Hofu

6.Mpweke wa nafsi muda wote

7.Mabadiliko ya ghafla ya tabia. (Aweza kuwa mkali au mpole)

8.Hupenda kukamilisha Jambo alifanyalo haachi kiporo Mara nyingi wanahisi Kuna Jambo kubwa litamtokea muda si mrefu hivyo ni kama wanajiandaa.

Ukiona dalili hizi kwa binadamu ambae haumwi kabisa ujue niagieni inagonga hodi.

Mshana Jr upooooo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nimekuwa na hizo tabia zote ulizotaja huwa nina pata majanga ya kufa kufa karibu kila mwaka kuna ukweli ndani yake sipingi😂😂😂
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom