Nyati
JF-Expert Member
- Mar 6, 2009
- 2,489
- 1,813
kweli wewe mtoka pabaya kwani yaelekea ndo nyinyi mnasubiri wafadhili wawaletee kila kitu hata kuua mbu ama kuharibu masalia ya mbu mnasubiri wafadhili. Mimi nimemshauri tu kwani ni mdau wa usafiri huo, lkn yeye anasema anataka kwenda na wakati, lazima ajue kuna "cost" yake ndo maana kuna kitu kinaitwa "PEAK HOURS".S
Kuna watu wanajitumbukiza kwenye issues nzito za maafisa elimu huku kazi zao zimelala.