Dalili za kulishwa limbwata na mkeo

Hivi punde

JF-Expert Member
Apr 1, 2017
2,554
8,552
*Dalili za kulishwa limbwata na mkeo ni;-*

1.Ukiwa mtaani unakuwa mbabe ila ukiwa Kwako na Mkeo unakuwa Mpole sana

2. Hupendi Ndugu zako kuja Kwako ila wa Mkeo unawalazimisha waje

3. Ukiwa unaongea na Ndugu zako huwa unakuwa na Hasira ila wa Mkeo meno yote 32 nje

4. Unasikia uvivu kwenda kusalimia Kwenu ila kwa Mkeo unatamani uende kila siku

5. Ukiombwa Hela na Ndugu zako unawaambia subiri hadi uzungumze na Mkeo Kwanza

6. Ukipokea tu Mshahara lazima utamwambia hata kama hajakuuliza

7. Ukiwa nae Kitandani unaogopa kumwomba Mbunye hadi akuambie Yeye
 
8. Ukiweza kugundua dalili zote hizi ujue wewe haujalishwa bado maana ukilishwa utakua haukosei
 
*Dalili za kulishwa limbwata na mkeo ni;-*

1.Ukiwa mtaani unakuwa mbabe ila ukiwa Kwako na Mkeo unakuwa Mpole sana

2. Hupendi Ndugu zako kuja Kwako ila wa Mkeo unawalazimisha waje

3. Ukiwa unaongea na Ndugu zako huwa unakuwa na Hasira ila wa Mkeo meno yote 32 nje

4. Unasikia uvivu kwenda kusalimia Kwenu ila kwa Mkeo unatamani uende kila siku

5. Ukiombwa Hela na Ndugu zako unawaambia subiri hadi uzungumze na Mkeo Kwanza

6. Ukipokea tu Mshahara lazima utamwambia hata kama hajakuuliza

7. Ukiwa nae Kitandani unaogopa kumwomba Mbunye hadi akuambie Yeye
GENTAMYCINE njoo umuone huyu hapa Thread yako keshaidukua bila ruhusa yako
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom