President Elect
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 693
- 212
Jana tumeshuhudia polisi huko visiwani wakiomba msaada toka vikosi vingine vya ulinzi na usalama baada ya kuzidiwa nguvu. Hali ni tete ikiendelea, huenda majeda wakatumia mwanya huu kuitwaa zenji jumla na kuzima chokochoko za kuvunja muungano.