Dalili za Homa ya Uti wa Mgongo

Status
Not open for further replies.

JamiiTalks

JF Advocacy Team
Aug 7, 2018
502
1,000
  • Homa kali
  • Shingo kukakamaa
  • Maumivu makali ya kichwa
  • Kupatwa na degedege na mwili kukakamaa
  • Kushindwa kuvumilia mwanga na kelele
  • Kwa watoto kuvimba uso
    IMG_20210425_000340_454.jpg
 
Upvote 0
Status
Not open for further replies.

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom